Kinana kufunga barabara jijini Mwanza. Je, ni haki?

Kinana kufunga barabara jijini Mwanza. Je, ni haki?

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​
 
Muda huu kumetokea msongomano wa magari barabara ya nyerere road kisa huyu katibu mkuu wa ccm akipita na polisi ( traffic) kufunga barabara, huku ikifahamika kuwa kinana ni katibu wa chama si wa kiserikali. Je huu ni usitaarabu kila kiongozi wa ccm kuleta adha kwa wananchi?.

Barabara ya Nyerere Road=Nyerere Road.
Any way, ulitaka akija na Slaa wafunge barabara or!? Una Ujinga uliopitiliza. Ngojea na chadema ikibahatika kuwa chama kinachounda serikali na Slaa atafungiwa barabara.
 
​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​
Mwaka huu CCM wanalo. Watatumia mbinu nyingi sana kuwavuta vijana, but sijui kama wataweza. Ngoja tuone muziki wake kama atatoboa hapo MZA
 
Lini Wenje kafanya jogging na yakaitwa maandamano?
Laiti ungeangalia sentensi yangu kwa jicho la "maana/meaning" ungenielewa vizuri. Ila kwa kuwa umeangalia kwa njia ya kama sentesi tu acha uelewe hivyo!
 
Back
Top Bottom