Kifo hicho cdm
Wanao husika na haya yote uliyotaja ni slaa,mbowe,ndesamburo,mtei,na baadhi ya wafazili wa chadema.Umetumiwa ngapi mpka kutuletea uzi huu. Kama CCM haiogopi ije hadharani kutwambia
1. Ni akina nani wameficha mabilioni USWISS?
2. Ni nani anaua tembo wetu na kwa nini hawakamatwi wakati wana intelligensia kibao
3. Tunapata nini kwenye raslimali za asili kama vile madini ya dhahabu, almasi, Tanzanite.
4. Kuna manufaa gani kwenye safari za Mkulu nje ya nchi tangu aingie madarakani?
5. Ni nini faida ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi kubwa duniani hapa Tanzania
6. Kwa nini makampuni mengi ya madini karibu yote yanatoka Kanada
7. Je wametumia hekima gani kumaliza mgogorowa Mtwara?
8. Makamu MKiti Bara alituambiakuwa ndani ya miezi sita atakuwa amewawajibisha waliotoa
rushwa kwenye kura za maoni na leo kaja na single ingine kwamba wameongezewa tena
miezi sita mingine.
9. Je ile filamu ya kujivua Gamaba iliishia wapi?
10. Je mliwachukulia hatua gani waasisi wa CCJ?
11. Mtafanyaje kwenye uchaguzi ujao wakati mshajua baadhi ya vigogo wenu washaanza
kupita pita makanisani na misikitini?
12. Unakumbuka ILANI ya CCM kuhusu kuanzisha Mahakama ya KADHI iwapo mngepewa
dhamana?
13. Utatuambiaje juu ya watoto wetu kufeli na kuchakachua tena matokeo kuondoa aibu?14. Unasemaje juu ya kuacha raslimali zetu mikononi mwa wawekezaji afu tunapitisha
bakuli dunia nzima kuomba misaada?
15. Unasemaje kesi ya akina Mramba kukaa miaka sita mahakamani bila kusikilizwa?
16. Inakuwaje Mahalu kushinda kesi dhidi ya serikaliwakati iliungwa mkono na watawala
wote?
Unaonaje ukileta uzi wa kuzungumzia masuala na siyo watu
Hii dhana ya CDM kuwa maarufu mnaitoa wapi?. Hakiwezi kuwa chama maarufu kikakosa kupewa madaraka na wananchi toka 1995.CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake
1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza
2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.
UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
Hapa husitegemee majibu sana sana tarajia vitisho na kuambiwa huu ni uchochezi.Umetumiwa ngapi mpka kutuletea uzi huu. Kama CCM haiogopi ije hadharani kutwambia
1. Ni akina nani wameficha mabilioni USWISS?
2. Ni nani anaua tembo wetu na kwa nini hawakamatwi wakati wana intelligensia kibao
3. Tunapata nini kwenye raslimali za asili kama vile madini ya dhahabu, almasi, Tanzanite.
4. Kuna manufaa gani kwenye safari za Mkulu nje ya nchi tangu aingie madarakani?
5. Ni nini faida ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi kubwa duniani hapa Tanzania
6. Kwa nini makampuni mengi ya madini karibu yote yanatoka Kanada
7. Je wametumia hekima gani kumaliza mgogorowa Mtwara?
8. Makamu MKiti Bara alituambiakuwa ndani ya miezi sita atakuwa amewawajibisha waliotoa
rushwa kwenye kura za maoni na leo kaja na single ingine kwamba wameongezewa tena
miezi sita mingine.
9. Je ile filamu ya kujivua Gamaba iliishia wapi?
10. Je mliwachukulia hatua gani waasisi wa CCJ?
11. Mtafanyaje kwenye uchaguzi ujao wakati mshajua baadhi ya vigogo wenu washaanza
kupita pita makanisani na misikitini?
12. Unakumbuka ILANI ya CCM kuhusu kuanzisha Mahakama ya KADHI iwapo mngepewa
dhamana?
13. Utatuambiaje juu ya watoto wetu kufeli na kuchakachua tena matokeo kuondoa aibu?14. Unasemaje juu ya kuacha raslimali zetu mikononi mwa wawekezaji afu tunapitisha
bakuli dunia nzima kuomba misaada?
15. Unasemaje kesi ya akina Mramba kukaa miaka sita mahakamani bila kusikilizwa?
16. Inakuwaje Mahalu kushinda kesi dhidi ya serikaliwakati iliungwa mkono na watawala
wote?
Unaonaje ukileta uzi wa kuzungumzia masuala na siyo watu
Lini CCM imeshinda tume ya kijambazi wizi wa kura kila mahali kuua watu ndio unasema ushindi usilete ujinga CCM kiboko chake wananchi wanaleta ujinga wanazomewa tuuHii dhana ya CDM kuwa maarufu mnaitoa wapi?. Hakiwezi kuwa chama maarufu kikakosa kupewa madaraka na wananchi toka 1995.
Umaarufu wa chama unapimwa kwenye sanduku la kura, kwa maana hiyo, ukiangalia kuanzia mwaka 1995 utaona hawama umaarufu wowote kwenye eneo la siasa Tanzania zaidi ya kutafuta umarufu kwa kidnapping.
Kabla hujapata uwezo wa kujenga hoja kwenye majukwaa ya watu wazima kama JF, kajifunze kwanza kuandika sentesi vizuri ili kwanza tukielewe kile unachokiandika kabla ya kuielewa mantiki ya kile unachokiandika.Lini CCM imeshinda tume ya kijambazi wizi wa kura kila mahali kuua watu ndio unasema ushindi usilete ujinga CCM kiboko chake wananchi wanaleta ujinga wanazomewa tuu
ever since the world was created...wew ndo mpumbavu wa kwanza na hakuna aliye vunja rekod yako kwa upumbav wako..ur doomed.ondoa hiyo takataka yake shwaini weweCHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake
1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza
2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.
UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake
1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza
2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.
UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
Umetumiwa ngapi mpka kutuletea uzi huu. Kama CCM haiogopi ije hadharani kutwambia