Elections 2010 Kinana anaropoka mlimani tv

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
4,621
2,000
Wakuu muanagalieni Kinana mlimani TV anamponda Dr slaa kwamba ni muongo na mzushi.
 

Mfuatiliaji

Senior Member
Jun 5, 2008
152
225
huyu mzee anachoka vibaya sijui tumsaidiaje siku ile dr alimfanya kama mtoto leo ameona je mwenyewe inabidi tumuombee anazungumza kuhusu fact alizo toa dr slaa jana
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,473
2,000
News za ITV amekana kuwepo kikao cha kuchakachua kule mwanza na RA anasema alikuwa sauzi
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
4,621
2,000
Meli za uharamia ndio zinamweka mjini hapa,mtu wa hovyo kabisa.wala sio Mtanzania na tunajua.
 

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,795
2,000
kinana anasema kweli. Rostam hakuwepo ktk cku ambayo dr.slaa anasema walikutana kupanga njama za kuchakachua. Mie ndo nlikuwa mpambe wa Rostam mpaka Sauzi hizo tarehe anazosema Slaa kuhusu fisadi Rostam ni uongo tu. Kwanza nlikuwa nadhan jamaa ana data za ukweli kumbe mwongo 2. Bora 2endelee kunyonywa na wakoloni wa CCM kulipo kumpa Slaa
 

Keynes

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
529
225
kinana anasema kweli. Rostam hakuwepo ktk cku ambayo dr.slaa anasema walikutana kupanga njama za kuchakachua. Mie ndo nlikuwa mpambe wa Rostam mpaka Sauzi hizo tarehe anazosema Slaa kuhusu fisadi Rostam ni uongo tu. Kwanza nlikuwa nadhan jamaa ana data za ukweli kumbe mwongo 2. Bora 2endelee kunyonywa na wakoloni wa CCM kulipo kumpa Slaa
we mbona hueleweki mpambe wa rostam kivipi? we ni girl friend wake?
tuweke sawa.......au tupe data kamili
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,981
2,000
Mhhh!!!!! ndugu zanguni wa bongo mnaweza kutuhabarisha alikuwa anazungumza upupu gani huyo mkimbizi? sie huku Arusha hatuioni hiyo mlimani tv.

Tupeni habari waungwana!
 

Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,535
2,000
Sina hamu na wasomali mie. Huyu bwana anabahati kama tungeshinda angetueleza zile meli zake bahari ya Hindi amezipataje!
 

Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
1,195
Lazima Amponde koz sitegemei tofauti na hilo....Thinking capacity yake is beyond negative....Rais gani anaeweza kumuacha mtu ambae anasafirisha meno ya Tembo kwa meli yake??? Mwizi tu huyu jamaaa..........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom