mnyamiwono
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 708
- 71
Ni mwanasiasa mweledi, kwani palipo na ukweli lazima utaonekana tu. Na mnyonge usimnyonge na haki yake mpe! CDM inakubalika hata NAPE anajua hilo!
Kama wewe ungali na kumbukumbu kama ulichukua lile somo la jiographia kitengo cha map reading and picture interpretation unaweza kuelewa ninachokiongela hapa. Unaona kabisa Kinana alivyoishika bendera ile kwa namna ambayo hata mara moja hajawahi kuishika hivyo bendera ya CCM. Anashindwa tu kutamka wazi kwamba anaipenda CHADEMA kwa sababu ya wadhifa wake. Ulishawahi kuona kiongozi wa CHADEMA, CUF, NCCR nakadhalika wanaisujuia bendera ya CCM kwa mtindo huo? Jibu la hasha.Kwa picha hiyo nikuambie wazi Kinana ameutangazia umma kwamba CHADEMA ndio chaguo lake na wananchi. Huko huko Morogoro ametamka wazi kwamba hoja za wapinzani zisidharaulike zote, kuna hoja zenye uzito na ukweli zifanyiwe kazi.Nape naye alishaichangamkia bendera ya CHADEMA kama picha hapo juu.![]()
Precisely mkuu!Tuache utani, bendera ya Chadema inavutia jamani!
kinana anajielewa mulichotaka yy aitupe chini au aichane ili museme mchokozi yy kaletewa anatathmini vijana wanavyoungama ccm