Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
CandidWacha utani!CCMdigital imeipa hiyo picha kichwa cha habari:"Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Pancras Mogela aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA akipoamua kujiunbga na CCM, Kinana alipotembelea tawi la CCM Viwanjani, Ulanga mkoani Morogoro, kukagua uhai wa Chama kwenye tawi hilo."
be careful bwana! wengine tuko siriaz
yaani CCM ni laana upu? wamama wajawazito wanalala wawili wawili kwenye kitanda cha ft 2.5! wao wako huku na CDM tu. Mwenye picha ya Slaa akiwa na Libendera la CCM akiwa kwenye pozi kama hii ya Tembo Dentist atuwekee kama ikipatikana nipigwe ban Maisha. Msigwa hakukosea kusema Kuiacha akili ndogo iongoze akili...................... Mungu ni Mwema tutafika tu
ni kweli kabisa madenge! bahati mbaya Member wanatoa like 1 tu. Vinginevyo ungekula like zangu pekee kama milioni hivi leoTuache utani, bendera ya Chadema inavutia jamani!
Amechukua laki tano yake kwa kutoa bendera na kadi moyoni bado cdm,wajinga ndio waliwao.
Kama moyoni bado CDM ipo, hapo bado hajanunuliwa, ila amepewa mtaji wa kuendesha mambo yakeacha kuwadhalilisha wanachadema kuwa wananunuliwa kirahisi namna hiyo na CCM, Kwa nini kila kitu wanachofanya CCM wanachadema mnatanguliza sana kuhongwa na CCM hii inajenga sifa gani kwa wanacdm? Jaribu kufikiri kabla hujachangia uzi
Kama moyoni bado CDM ipo, hapo bado hajanunuliwa, ila amepewa mtaji wa kuendesha mambo yake