Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

NASUBIRI KISIKIA WAMELIPA HIYO 8Bil.
Otherewise wakaombe msamaha.
 
hili liko wazi...baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja..ni Mzee Kinana na Peter Noni....fuatilieni brela na TCRA....and connect the dots..
Ni kweli lakini mwenye Shea kubwa ni Wakili Tenga wa BOT wapo wengi wanaotafuna pesa kupitia hiyo kampuni hata Ruge na P funky wote ni wanufaika wa huo mchongo wakiwemo akina January Makamba.
 
Marafiki wa Kikwete wote ni majambazi, hvi kwa nini?
Rashid alipiga pesa sana Kipindi cha Utawala wa Kikwete na alikuwa na dharau sana ilifika mahala akawa anatukana kila mtu fukuza fukuza ya wafanyakazi ndiyo imemletea haya maafa yote.
 
Rashid sasa hivi ataachiwa na mtashangaa Nchi hii kuna vioja na kesi watashinda zote na mitambo yao itawashwa yote.
 
Yawe
hili liko wazi...baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja..ni Mzee Kinana na Peter Noni....fuatilieni brela na TCRA....and connect the dots..
Yawezekana kabisa kati ya Internet washitakiwa kuna mwenye asili ya somali.Ndiyo maana MD alikua na confidence ya hali ya juu
 
Rashid alipiga pesa sana Kipindi cha Utawala wa Kikwete na alikuwa na dharau sana ilifika mahala akawa anatukana kila mtu fukuza fukuza ya wafanyakazi ndiyo imemletea haya maafa yote.
Bwana weeeee acha tu hasa 2010
 
Tenga ana shea kubwa kuliko wote na mwanae ndiyo hufanya kazi na Rashid na sasa yupo mafichoni kajificha asikamatwe.
 
Six telecom wamefanya nini, wameiba vipi hizi pesa zote mimi sijajua bado
 
Usalama wa taifa waongeze ufanisi wa kazi hasa ktk kudhibiti haya majambasi yanayo filisiwa.muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…