PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Auwe upinzani kivipi wakati ccm wanawalawiti mashekh wanawapiga risasi mashekh wapo jela mapadri wanapigwa risasi samwel sita ccm amewakashifu maaskofu kinana atauaje upinzani wakati watu wanaumia moyoni au unatumika kaka
Watanzania hawahitaji watu wanafiki kama kinana, watanzania hatuhitaji watu kama hawa wanaojifanya eti wanawasaidia kulima na kujenga, tunahitaji huduma nzuri kwa wajawazito,watoto, wazee,na watanzania kwa ujumla
watanzania tunataka elimu bora kwa wote sio unafiki wa kinana kuendesha baiskeli kuwalaghai watanzania bali tunataka wezi na mafisadi wafilisiwe,wanyongwe
Kinana ni mnafiki kwa sababu anajifanya eti aonekane anawajali watanzania kumbe ni wale wale wanaofaidika na wizi,ufisadi. tunataka sement ishushwe bei, mabati,nondo na misumali ishuke bei kila mtanzania aweze kujenga nyumba ya kisasa. ETI KINANA ANAWALAGHAI WATANZANIA KWA KUWASAIDIA KUJENGA NYUMBA ZA MATOPE badala ya kushauri mafisadi washushe bei ya cement ili hawa anaowalaghai wajenge nyumba za kisasa
Kumbuka kuna kitu kinaitwa"SPECIALIZATION", lazima ujue kuwa kuna fani ya madaktari, kuna fani ya uuguzi,kuna fani ya uhandisi, n.k, hivyo kinana anachofanya ni usanii tu! kinachotakiwa kwa kiongozi ni kuweka mifumo inayomwezesha mwenye ujuzi/fani fulani aweze kufanya kazi zake kwa urahisi na kwa ufanisi mkubwa ili kama kuna ushindani wa kibiashara aweze kukabiliana nayo, kama kuweka urahisi wa kupata mikopo kwa wajasiriamali, kuwaongezea ujuzi ili waongeze utaalam zaidi, ebu muulize kinana fani yake ni nini? anachokifanya ni usanii tu!Huyu kanali mstaafu wa jeshi hapana chezea kabisa. Pamoja na cheo kikubwa sana alichonacho lakini hajali hali.. Anashiriki kazi za mikono na jamii anayoikuta. Si kulima, kujenga, kuendesha baskeli, bodaboda, kula kwa mama ntilie na hata kuvaa kiatu cha tairi maarufu sendeu kule kwetu.
tabia hii ya kinana ni janga kuu kwa upinzani uliobaki na sera ya maandamano haram ya kuvizia, ya kuhamasisha vurugu,matusi na lugha za kuudhi...
Nawashauri wapinzani waige nyendo za huyu jamaa.
watanzania hawahitaji watu wanafiki kama kinana, watanzania hatuhitaji watu kama hawa wanaojifanya eti wanawasaidia kulima na kujenga, tunahitaji huduma nzuri kwa wajawazito,watoto, wazee,na watanzania kwa ujumla
watanzania tunataka elimu bora kwa wote sio unafiki wa kinana kuendesha baiskeli kuwalaghai watanzania bali tunataka wezi na mafisadi wafilisiwe,wanyongwe
kinana ni mnafiki kwa sababu anajifanya eti aonekane anawajali watanzania kumbe ni wale wale wanaofaidika na wizi,ufisadi. Tunataka sement ishushwe bei, mabati,nondo na misumali ishuke bei kila mtanzania aweze kujenga nyumba ya kisasa. Eti kinana anawalaghai watanzania kwa kuwasaidia kujenga nyumba za matope badala ya kushauri mafisadi washushe bei ya cement ili hawa anaowalaghai wajenge nyumba za kisasa
binafsi siipendi kabisa CCM ila kiukweli KINANA ameihusha ccm. yan wanachama walichakata tamaa lakini hiv ss kinana anajaza umati wa watu kabla ht kampeni hazijaanza. kwa wapenz wa itv wataniunga mkono jinsi alivofunika.
upande wa mtani anakimbizana na matamko hajui chama ni kwenda grassroot.
Nakuunga mkono swaiba kinana ni Sheeeeeda kwa upunzani amewapoteza
zzk mambo hy ya strategy ndo alikua anaweza ss wamebaki watu wasio na vision wala mission
Mkuu...wewe huipendi CCM?
Na huyo mtani wako ni nani? Duh....Ukiwa CCM lazima uwe na akili ya maiti
binafsi siipendi kabisa CCM ila kiukweli KINANA ameihusha ccm. yan wanachama walichakata tamaa lakini hiv ss kinana anajaza umati wa watu kabla ht kampeni hazijaanza. kwa wapenz wa itv wataniunga mkono jinsi alivofunika.
upande wa mtani anakimbizana na matamko hajui chama ni kwenda grassroot.