Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
Pia Mahakama itoe zuio la kudumu kumzuia Msigwa, au wakala wake kutoa au kuchapisha taarifa zozote za kashfa dhidi yake. Katika hati ya madai amenukuu baadhi ya kauli za Msigwa, ikiwemo "Kinana (naomba waandishi wa habari mnisikie na nyie Usalama wa Taifa mkapeleke habari) hana sifa za kupita barabarani na kuwaambia Watanzania waiamini CCM. Kinana mikono yake si misafi."
HabariLeo
Wamemshauri vizuri sana! Wanasheria wataila vipi hela ya kinana kama sio kwa kumuingiza humo?Sijui wanasheria wa kinana wamemshauri vizuri... hakuna contradiction kati ya Bunge, Mahakama na Serikali. Kauli za bungeni zinashughulikiwa na kanuni za bunge siyo mahakamani au serikalini.
Mzee kinana, mimi ningekuwa wewe, kwa kweli nisingekubali wadhifa huo ulioupokea. kama kula umekula ya kutosha nasasa ungebaki na heshma yako unayosema umeijenga kwa miaka mingi. Hii damu ya Vijana iko kasi sana na nyakati zenu za Babu yetu Mzee Ml. Nyerere, THUBUTU HII YA VIJANA KWENDA KASI HAIKUWEPO. HUNA NGUVU TENA YA KUPAMBANA NA DAMU HII. Ungewaachia vijana akina Nape, Mwiguru na wezao.... Jiuzuru mzee.. Aibu si kitu chema kabisa..
Napita tu jamani..
Peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.
Yap nw kinana Hana tabia njema,pia si mwaminifu Hana weledi coz ya msigwa ndo mana yake na pole yake ataisoma namba tunataka tembo wetuAmeharibiwa tabia?!!!! Kwa hiyo sasa hivi ana tabia mbovu kutokana na Msigwa?!!!
Well done kinana,
Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.
Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.