Kinana Akigonga Chai na Ugimbi

Kinana Akigonga Chai na Ugimbi

Hayo siyo naisha yake hata kidogo, anatukaghai wananchi, akimaliza ziara hizo anafunga safari ya kwenda kunywa chai New York huku wananchi waliorubuniwa wakibaki na Maisha yao ya kawaida ya uji wa chumvi na ndimu!
Tonyeshe picha za unaowajua wewe wakinywa na kula na walala hoi kwa miezi mfululizo.
CCM OYEE!
 
gz9.jpg
 
Huyu msomali sio bure ana lake.Halafu kwanini kila siku lazima ITV kwenye habari lazima wawape airtime au ndio ......................?
 
Haya matukio ni muhimu ktk siasa kwani mwananchi anaamini kwa kula nao wanachokula ni mwenzao kwa hiyo kura zote ccm. Wapinzani kaeni chonjo wakati ni huu. Disemba sio mbali.
 
Huyu msomali sio bure ana lake.Halafu kwanini kila siku lazima ITV kwenye habari lazima wawape airtime au ndio ......................?
ameambatana na Ufoo Saro wa ITV.........IF YOU CANT WIN THEM JOIN THEM
 
haya matukio ni muhimu ktk siasa kwani mwananchi anaamini kwa kula nao wanachokula ni mwenzao kwa hiyo kura zote ccm. wapinzani kaeni chonjo wakati ni huu. Disemba sio mbali.

wako bize na maandamano
 
Haya matukio ni muhimu ktk siasa kwani mwananchi anaamini kwa kula nao wanachokula ni mwenzao kwa hiyo kura zote ccm. Wapinzani kaeni chonjo wakati ni huu. Disemba sio mbali.
SIASA NI propaganda mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom