Kinana aivuruga Lumumba

Pale Lumumba wote wapo kwaajili ya posho wala siyo kujenga Chama, that's why wanalalamika! Matumbo yao ndo yanawasumbua na hakika nawaambieni, pale hakuna mwenye mapenzi na Chama kama Chama, bali njaa ndo zinawafanya wajidai wanakipenda Chama, maana wahenga walisema mtumikie kafili upate mradi wako!
 
CCM ilishajifia na Nyerere, kimebaki kikundi cha maintarahamwe fullstop
 
Last edited by a moderator:
niliwahi kulisema hili kuwa kinana anahitaji kubadili mbinu mara kwa mara (creative) siasa za mipasho ziwe na sehemu yake na siasa za beleshi ziwe na mahala pake.

lazima afahamu yupi anakubalika wapi, awachezeshe wachezaji tofauti katika nafasi tofauti kupima uwezo wao na mvuto kwa jamii
 
Oooh!

Watu makini pia wameshaanza kuhoji kuhusu unafiki wa wazi unaofanywa kwenye ziara hizo tena kwa kukebehi na kudharau wananchi.

Mkuu bora umerudi kulinda kibarua chako,maana Yericko Nyerere halali akiipigania hiyo nafasi.
 
umejuaje kama Yericko Nyerere halali kama wewe unalala?

Huoni kuwa wewe ndiye mwenye nia ya dhati ukiipigania hiyo nafasi?

Kamwe sitatumika kisiasa anko.Siwezi kuipigania hiyo nafasi. Mlichomfanya Zitto kwangu ni darasa huru.
 
Last edited by a moderator:
kumbe hamjajua tu,kinana hataki kuambatana na watukanaji,anataka wajenga Hoja hata kama ni za kipumbafu,hapendi kusikia matusi.watukanaji wote mtaendelea kusoma magazeti ofisini na kutukana huku JF
 
Wacha watoane roho........... Na huyo mropokaji lazima atakuwa Mtela duh!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu bora umerudi kulinda kibarua chako,maana Yericko Nyerere halali akiipigania hiyo nafasi.

Kurugenzi ya habari ya chadema ni kubwa wewe acha ushambenga..... Unamuwazia Makene tu mbulula

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Creativity ina hitaji mtu mwenye IQ kubwa,kinana hana uwezo wa kubadili mbinu kichwa chenyewe hakina kisogo unadhani akili ata itoa wapi....
 

huna hoja. Km ww unataka posho hama chama. Waache watu wafanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…