Wasilalamike, ni wazi kuwa CCM ndiyo imeasisi, kubariki na kuachia utaratibu wa viongozi kujiamulia kufanya wanayotaka. Ni serikali ya CCM iliyotupa kando uwajibikaji na maadili ya viongozi wa umma. Ni CCM na viongozi wake waliofikia hatua ya kuzidharau sheria na kukiuka katiba ya nchi kwa manufaa yao.
CCM ni chama pekee ambapo watu wenye kashfa za ubakaji kama Prof. Kapuya wanaweza kupeta na vyeo vyao bila kubughudhiwa na yeyote. Ni katika CCM ambapo kiongozi anayetuhumiwa na umma anaweza kugombea uongozi wa umma huku akipigiwa kampeni na Mwenyekiti wa chama hicho bila aibu!
Tena ni katika CCM na serikali yake ambapo kiongozi anaweza kuwaamuru polisi au jeshi kuvunja sheria na kutoheshimu katiba, na asiulizwe na yeyoye. Ni katika serikali ya CCM ambapo wahalifu wateule kama Kamuhanda wanaweza kupandishwa vyeo, pamoja na mauaji waliyoyasimamia kuwa na ushahidi wa wazi!
Kwani wao walitegemea nini kutokana na chama chao? Tell them to sit tight. Katika CCM kila kisichowezekana kwingineko kinawezekana kwao. Kila kisichoruhusiwa kwingine ndani ya CCM ni ruksa!
Mkuu, kwani Kinana si mwana CCM?Wanatakiwa wakumbuke bila kinana CCM ingekuwa kaburini saa hizi-sio siri kwamba ameiongezea uhai
Kama slaa anavyoenda kupora wake za watu
Ya inta.... Waachie inta...
Mkuu, kwani Kinana si mwana CCM?
Wasilalamike, ni wazi kuwa CCM ndiyo imeasisi, kubariki na kuachia utaratibu wa viongozi kujiamulia kufanya wanayotaka. Ni serikali ya CCM iliyotupa kando uwajibikaji na maadili ya viongozi wa umma. Ni CCM na viongozi wake waliofikia hatua ya kuzidharau sheria na kukiuka katiba ya nchi kwa manufaa yao.
CCM ni chama pekee ambapo watu wenye kashfa za ubakaji kama Prof. Kapuya wanaweza kupeta na vyeo vyao bila kubughudhiwa na yeyote. Ni katika CCM ambapo kiongozi anayetuhumiwa na umma anaweza kugombea uongozi wa umma huku akipigiwa kampeni na Mwenyekiti wa chama hicho bila aibu!
Tena ni katika CCM na serikali yake ambapo kiongozi anaweza kuwaamuru polisi au jeshi kuvunja sheria na kutoheshimu katiba, na asiulizwe na yeyoye. Ni katika serikali ya CCM ambapo wahalifu wateule kama Kamuhanda wanaweza kupandishwa vyeo, pamoja na mauaji waliyoyasimamia kuwa na ushahidi wa wazi!
Kwani wao walitegemea nini kutokana na chama chao? Tell them to sit tight. Katika CCM kila kisichowezekana kwingineko kinawezekana kwao. Kila kisichoruhusiwa kwingine ndani ya CCM ni ruksa!
Ndugu yangu ni ukweli usiofichika ktk chama hiki. Mf Mwenyekiti wao aliwahi kusema ana majina ya majangili wanaoua tembo wetu, ameshindwa nn kuwataja au kuyakabidhi ktk vyombo husika? Waziri ktk Wizara ya Maliasili na Utalii akihitimisha hotuba ya wizara yake hapo jana alisema hakuna ushahidi wakuwakamata majangili. Je yale meno yote yaliokamatwa sio ushahidi? Wakubal tu kwamba CCM ina wenyewe na wenye chama ndio MAJANGILI. Nawaomba ndugu zetu wa CCM watambue kwamba uzalendo umewashinda eti kwakuwa tu serikali iliyoko madarakani ni mali yao, watambue pia kuwa Nchi ni ya Wanzania wote na sio mali yao (ccm).
Neno moja lenye maana sawa na maelezo yako yote ni 'Mbugi '
Kuna sintofahamu katika Ofisi Ndogo za CCM-Lumumba kuhusu ziara zinazoendelea za Katibu Mkuu wa CCM,Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana. Patashika hiyo ya kichama ni kuhusu hasa timu inayoambatana na Kinana katika ziara za mikoani.Makada waandamizi wa Lumumba wanadai kuwa ziara za Kinana hazilengi kuimarisha chama kama zinavyoonekena ila ni kujitangaza na kuwatangaza anaoambatana nao ili kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwakani.
"Werevu tunajua.Katibu Mkuu na timu yake wako katika kujitangaza na kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Hakuna jipya ambalo wanalifanya. Ndiyo maana hata timu yake haibadiliki.Ni kwamba amechagua vijana wa kuwatangaza na wengine kuwatenga. Kwanini timu haibadiliki? Kwani nani hawezi kuhutubia na nani hataki posho?" aliuliza kwa kulalama kada mmoja maarufu aliyehamia CCM katika miaka ya karibuni.
"Ziara za Katibu Mkuu zitaleta ubaguzi chamani na mpasuko usio na maana. Chama hakiimarishwi na watu wale wale kila siku.Kila kada anaweza kwenda mikoani na kukitangaza chama. Kwanini wale wale hata kama wanaonekana kusema mambo ya kawaida sana? Tunajiandaa kuchukua hatua juu ya hili" alidakia kada mwingine wa Ofisi Ndogo Lumumba
Nionavyo,lengo kuu ni posho na umaarufu. Kumbe!??
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Udaku mtupu, ziara za kinana zina faida kubwa kwa ccm kila mtu anajua. Usituhadae.
Kinana anatisha.
Mmezidi njaa nyie,kinana hana njaa hizo mwacheni ajenge chama