Kinana aisimamisha Kagera, UKAWA wasambaratika

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3][/h]

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa jimbo la Muleba ya Kusini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM imemleta Dk. John Pombe Magufuli kwa sababu ni kiongozi imara asiyetetereka na amekuwa mstari wa mbele kuona Taifa hili likiendelea..

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Muleba kusini

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Muleba ya Kaskazini Ndugu Charles Mwijage pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Muleba ya Kusini Profesa Anna Tibaijuka.

Helkopta iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikipasua anga la mji wa Bukoba.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Bukoba kwenye mkutano wa kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani.

​
 
has pamoja na helikopta watu wenyewe ndo hao,keel magamba kwishney,so sad,gone too soon
 
CCM hawatengezi uongo kama nyie. Ona hapa chini, hata aibu na haya hamna, mnafikiri kila mtu ni lofa na mpumbavu.

Ajb5aFlDZC5geiWxrdjx8bzQB8WUzmWSuvreFlAdpbTg.jpg
AmlmNYGlLA66BkqaawXfHXyjnhpogknGObc-7ww3jGq9.jpg

​

Hivi nyie UKAWA na Lowassa, mnapata faida gani kusema uongo katika zama hizi za watu wenye akili kubwazzz?​
 
ccm pigeni bila wasanii hadi sasa hamjui unyonge wenu kidonda cha usaa ukikifunga kinaoza
 
Nadhani hii inaweza kuwa ni ziara ya kumi ya Kinana katika mkoa Wa Kagera kwa kipindi cha mwaka mmoja, na Mara zote anasema ameizika CHADEMA.
sasa sijui kipindi hichi amekwenda kuyasambaratisha makaburi ya CHADEMA au nini tena?

CCM ni genge la wajinga kabisa, Watanzania wanataka maendeleo, Kinana anasema CCM ipo kuisambaratisha CHADEMA, So what?
 
[h=3][/h]

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa jimbo la Muleba ya Kusini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM imemleta Dk. John Pombe Magufuli kwa sababu ni kiongozi imara asiyetetereka na amekuwa mstari wa mbele kuona Taifa hili likiendelea..

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Muleba kusini

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Muleba ya Kaskazini Ndugu Charles Mwijage pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Muleba ya Kusini Profesa Anna Tibaijuka.

Helkopta iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikipasua anga la mji wa Bukoba.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Bukoba kwenye mkutano wa kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani.

​

Yan umeshindwa kuedit hizi picha walau tuone watu ni weng au umejisaau.
 
Ukawa ni Kama maji usipoyanywa utayaoga ukikwepa yote utayapata hata kwa kunyeshewa mvua, agalia mkia wa hiyo chopa ndo utajua hata kinana siku si nyiñgi atatoroka.
 
Sijaona hata tukio moja ambalo kwalo unawezs sema UKAWA imesambaratika, labda kama kuna matukio ambayo hujayaweka katika picha zako za mnato ulizoziambatanisha.
 
CCM hawatengezi uongo kama nyie. Ona hapa chini, hata aibu na haya hamna, mnafikiri kila mtu ni lofa na mpumbavu.

Ajb5aFlDZC5geiWxrdjx8bzQB8WUzmWSuvreFlAdpbTg.jpg
AmlmNYGlLA66BkqaawXfHXyjnhpogknGObc-7ww3jGq9.jpg

​

Hivi nyie UKAWA na Lowassa, mnapata faida gani kusema uongo katika zama hizi za watu wenye akili kubwazzz?​

Mkuu hv kumbe hii picha feki??

Aseee, ka ma ni kweki bas ukawa wanahali mbaya
 
Back
Top Bottom