A view to a kill
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 2,213
- 1,272
Uda dar zimeadimika,sisi watumiaji wa usafiri huu tunapata shida,naskia zipo mikoani kusafirisha wafuasi wa ccm,
CCM hawatengezi uongo kama nyie. Ona hapa chini, hata aibu na haya hamna, mnafikiri kila mtu ni lofa na mpumbavu.
![]()
![]()
Hivi nyie UKAWA na Lowassa, mnapata faida gani kusema uongo katika zama hizi za watu wenye akili kubwazzz?
Thibitisha kuwa huyo mgunies alikuwa wa kwanza kuposti hiyo picha.
Hadi raha, Kinana Jembe, Magufuli katapila