Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

Tunamhukumu mtu kwa kosa lake au kabila lake au ni sawa nakusema akinameku wote ni waizi?Tunajua madhara yakekwenu katikauchguzi huu. Lazima umuogope'ndio jemedari anaengoza majeshi yaCCM ushindi lazima
 
Mnashangaa nini kama mnakumbukumbu bwana huyo alishawahi kuhusishwa na kashfa ya Loliondo gate miaka 90 kwa hiyo yanayotokea siajabu kuhusika
 
Hii tumbua tumbua majipu ya magufuli naona imeanza kuwachanga viongozi wa kuu wa ccm akiwemo katibu mkuu wa ccm ndg. Abdulrahaman kinana. Nakijifanya kuwa anampongeza magufuli kwa utendajikazi wake ilikujaribu kukwepa rungu la magufuli lisi mfikie maana ndg: Kinana ana lijipu ambalo linahitaji kutumbuliwa bila ganzi

kinana ndio mpigaji wa meno ya tembo wetu hivyo tunakuomba mh: Magufuli utumbue hili jipu haraka kabla tembo wetu hawaja isha.

Kinana ndio alie jimilikisha eneo la serikali nakufungua icd au bandari kavu ya magari inayo julikana kwa jina la (tal) kinyume cha sheria

kinana ana miliki shipping line tatu
1: Diamond shipping line
2: Sharaf shipping line
3: Emirate shpping line

tunahitaji kujua hizi mali zote amepata wapi?
 
Duh! eee bhana hii ni hatari sana !
 
Back
Top Bottom