Kinadada piteni hapa turekebishane

Kinadada piteni hapa turekebishane

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
Mwanamke kumwita mwanamke mwenzake mpenzi, honey, dear, sweatheart, babe inachukuliwa sawa, tatizo kwanini wanaume wakiitana majina hayo wanaonekana kuna walakini (ushoga) ? Je wakina dada nao tuwaite wasagaji ?

Manake siku hizi kuna wimbi kubwa na kasi ya wasagaji (tomboy) kuongezeka na kama huna uzoefu nao unaweza usiwajue kabisa kutokana na maumbile yao (vishimo) vinajificha. Unakuta wasichana wanakiss kabisa ndimi kwa ndimi nikiwauliza wanasema ni shosti yake na mimi leo nawaambia nyie ndio mnasababisha majanga hayaishi duniani.

Tena wengine ni kina mama watu wazima, wengine wameolewa lakini bado wanaendekeza ulezi hadi wasage ndio wapate usingizi, wengine wanajidai watu wa dini, huko boarding schools na vyuoni ndio pameoza, watangazaji na wasanii pia mpo.

Wakina dada wa hapa Mombasa, Nairobi, Dar es salaam, Zanzibar, Arusha punguzeni kama hamuwezi kuacha sie marijali tutamuoa nani sasa
.
 
Ni kweli licha ya kuwa vitendo hivyo kuchumkiza mungu pia ni kinyume kabisa na maadili yetu
 
he jamani hadi nahisi kudondoka, yaani siamin macho yangu, ndo kusema hamtaki kusikia habari za dushelele?
 
daaa yani negative and unpredictable response... mpaka mleta mada sijui anajisiaje akiona comments za wadau
 
Back
Top Bottom