Kinadada huwa inawatokea?

GFM

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
706
0
Kinadada nawauliza ivi kuna watakati mnakuwaga na hamu ya kuwakamua (toa cream) waubani, yaani kwamba leo najisikia kumkatia mauno wangu mpaka ajue kwamba nae anamke. Ati wanasema wanaume ndio wanafikiria sex kila wakati hivi hii ni kweli au na nyie tyme tyme mntuwaza ...:thinking:
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
say t again
mara nying wanaume wanafikiria sex...akapate wap nanniii..aatamdo kwa style gan....nan yupo vulnerable kwenye i kitu...

wanawake yeeeeeeeeeeees huwaga wanaskia hamu ya KUDRAW cream ...kwan wao si viumbe hai jaman mpk wasisiskie?lakin wao kwa staha siyo mashine on 24 7 km wanaume..:doh::doh::doh:!!!!
-ukitaka kujua wanaume wanafikiria sex mda mwng we chek wwanawake wangap wapo kwenye kila chama chenu..INFIDE....sjui ISC...:yield::yield:
(samahan km ntakuwa nimesema urongo)
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,039
2,000

hehehe.. ushamaliza! hamna lakuogezea nafkiri
 
Du ivyo vyama itabidi unitafsirie maana yake maana wala sijawahi kuvitia jichoni ............ yaani hapa mi nauliza kama na nyie akinadada (samahani kama sio .....) huwa mnakuwa na hamu ya kumkamua yaani wewe hufiki lakini unamkamua jamaa yako mpaka amalize
si unaona kesi hapa kila siku sijui nimeachwa njiani nilikuwa sijakaa vizuri jamaa kamaliza:A S angry:.......
 
Zneba

Senior Member
May 12, 2010
192
0
yap kuna wakati tunafikiria kabisa ila nadhani tupo tofauti na wanaume, mwanaume nadhani akifkiria sex na kama uwezekano wa kupata haupo na kama ustarabu kwake kidogo ni zero anaweza kwenda ohio kutafuta wa chapchap
 
Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
6,996
2,000
say t again
mara nying wanaume wanafikiria sex...akapate wap nanniii..aatamdo kwa style gan....nan yupo vulnerable kwenye i kitu...

wanawake yeeeeeeeeeeees huwaga wanaskia hamu ya KUDRAW cream ...kwan wao si viumbe hai jaman mpk wasisiskie?lakin wao kwa staha siyo mashine on 24 7 km wanaume..:doh::doh::doh:!!!!
-ukitaka kujua wanaume wanafikiria sex mda mwng we chek wwanawake wangap wapo kwenye kila chama chenu..INFIDE....sjui ISC...:yield::yield:
(samahan km ntakuwa nimesema urongo)

Rose1980,

Unajuwa mimi huwa nakuzimia ile mbaya!

Lexical Phonology yako ni nzuri sana - It makes the thinking process tweet!
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
Du ivyo vyama itabidi unitafsirie maana yake maana wala sijawahi kuvitia jichoni ............ yaani hapa mi nauliza kama na nyie akinadada (samahani kama sio .....) huwa mnakuwa na hamu ya kumkamua yaani wewe hufiki lakini unamkamua jamaa yako mpaka amalize
si unaona kesi hapa kila siku sijui nimeachwa njiani nilikuwa sijakaa vizuri jamaa kamaliza:A S angry:.......
mbona nshajibu kaka?
chek apo juu
icho chama mchek roya ndo katibu wao..infideli.........malizia mwenyew
 
GFM

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
706
0
yap kuna wakati tunafikiria kabisa ila nadhani tupo tofauti na wanaume, mwanaume nadhani akifkiria sex na kama uwezekano wa kupata haupo na kama ustarabu kwake kidogo ni zero anaweza kwenda ohio kutafuta wa chapchap
Hayo ya kweli Mwasu ........ au unazungumzia 0.1% maana na akidada wa hivyo wapo ohio na kwingineko
 
Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,265
1,250
We ndio umepotea njia maana hilo swali pekee linakutoa nje ya chama, nenda cheichei , ukacheze na wenzio
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
hhaaah hah kiinglish neh .........:smile-big:
eeh bana ni bora kusema
-asi unajua tena sasaivi ndo narisit form for...so elimu +chngereza chake nehi apa
so muwe mnatumia i lugha aliyosanifisha mkoloni mwaka 1925..
nidhamin bas ..wakiandaka chngereza tu uwe fasta unantafsiria eennh?????i wl pay 4t!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom