TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Shida Iliyopo Tanzania Ni Gesi asilia, Tanzani Mpaka sasa Kuna Kiasi Kipatacho 55 Trilion cubic feet za Gesi Kilichogunduliwa. Ili Kuwasaidia Cubic feet moja ya Natural Gas Kwa US ni $3, Lakini Ukiweka bei ya Chini Kabisa, kabla ya Kuitoa ardhini, na kuitunza na kusafirisha.
Tuseme bei ya Cubic foot moja kuwa ni $ 0.50 Bado Kwa Hicho Kiasi Kidogo sana Kilichogunduliwa Kina Thamani ya Dola za Kimarekani, Trilioni, 27.5 ambaazo ni Qadrillion za Tanzania 59.5 Au Niseme Trilion 27.5za Tanzania Zidisha Kwa 2,165 exchange rate ya Leo.
Tsh 59,5000,000,000,000,000. Na Hiki Ni Kiasi Kidogo bado. Kiasi cha Mafuta na Gesi Kilichopo Tanzani Kinaweza Kununua Madege yote ya Kivita, na Mameli na Manuari zote ya Kivita, Na Makombora yote ya Kivita ya Marekani yakiwa Mapya!
Hii hasa Ndio Iliwaleta akina Bush, Obama,manmohan singh, Hu jing Tao, Chi Jing Ping, Bill Clinton, Hillary Clinton, etc wakifuatana msururu kwa kipindi cha chini ya miaka 5.
Na hii ndio hasa inawatoa Makamali wa CCM Udenda sio ati Wanaipenda Tanzania saana Wameanza Lini!
Tanzania lifts gas resources estimate to 55 trillion cubic feet | News by Country | Reuters
The 10 Biggest Oil And Gas Discoveries Of 2013