Hoja wanayo, nimeongelea Wasiwasi wa ccm kwa hoja ya CHADEMA. Ikifanikiwa wataiba nini?Sidhani ila nafahamu kuna hoja CDM wanayo
Hahahahaaha?CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku.
Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao.
Nami naamini CHADEMA ikifanikiwa kwenye hili, na wananchi wasijitokeze kupiga kura CCM itakosa legitimacy ya kuongoza.
Hizi tambo za CCM ni kwa sababu wanapojitokeza wana Chadema kwa wingi kwa nia ya kuitoa CCM madarakani, wao wanutumia mwanya huo kuchakachua kura za CHADEMA na kuwa za CCM na za CCM kuwa za CHADEMA.
Binafsi naona CHADEMA wakaze kabisa na wasiseme zile kauli tata, kama "Hatutasusia uchaguzi bali tutaamasisha watu wasiende kupiga kura" badala yake waseme "Hatutashiriki Uchaguzi kama hakuna mabadiriko ya sheria na taratibu za uchaguzi".
Nchimbi kashatoa msimamo Upo Nchi hii kweli?CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku.
Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao.
Nami naamini CHADEMA ikifanikiwa kwenye hili, na wananchi wasijitokeze kupiga kura CCM itakosa legitimacy ya kuongoza.
Hizi tambo za CCM ni kwa sababu wanapojitokeza wana Chadema kwa wingi kwa nia ya kuitoa CCM madarakani, wao wanutumia mwanya huo kuchakachua kura za CHADEMA na kuwa za CCM na za CCM kuwa za CHADEMA.
Binafsi naona CHADEMA wakaze kabisa na wasiseme zile kauli tata, kama "Hatutasusia uchaguzi bali tutaamasisha watu wasiende kupiga kura" badala yake waseme "Hatutashiriki Uchaguzi kama hakuna mabadiriko ya sheria na taratibu za uchaguzi".
Nchimbi yuko CUF au CCM?Nchimbi kashatoa msimamo Upo Nchi hii kweli?
Ni kweli hata wakipiga kura watu 10 bado atapata kura milioni 50, hilo linaeleweka.Hahahahaaha?
Mtaanzosha threads hata bilioni Moja Hadi uchaguzi ufike mkiongea yaleyale lakini Iko hivi;
Uchaguzi utafanyika, kwa amani na mama Samia ushindi wa 98%+ unamsubiri.
Na imekaa huko na nyumbu wenzio mkiaminishana ujinga huo kwamba wataenda watu 10?!!!! Poleni sana nyumbu.Ni kweli hata wakipiga kura watu 10 bado atapata kura milioni 50, hilo linaeleweka.
CDM iitishe mkutano mkuu au baraza kuu, au kamati kuu. Wazungumze kuhusu hiyo issue. Ikiwezakana wapige kura kati ya hizi options mbili.CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku.
Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao.
Nami naamini CHADEMA ikifanikiwa kwenye hili, na wananchi wasijitokeze kupiga kura CCM itakosa legitimacy ya kuongoza.
Hizi tambo za CCM ni kwa sababu wanapojitokeza wana Chadema kwa wingi kwa nia ya kuitoa CCM madarakani, wao wanutumia mwanya huo kuchakachua kura za CHADEMA na kuwa za CCM na za CCM kuwa za CHADEMA.
Binafsi naona CHADEMA wakaze kabisa na wasiseme zile kauli tata, kama "Hatutasusia uchaguzi bali tutaamasisha watu wasiende kupiga kura" badala yake waseme "Hatutashiriki Uchaguzi kama hakuna mabadiriko ya sheria na taratibu za uchaguzi".
Ni mtizamo wangu na Nyumbu wenzangu.Na imekaa huko na nyumbu wenzio mkiaminishana ujinga huo kwamba wataenda watu 10?!!!! Poleni sana nyumbu.
Waandamanaji waachane nao, huwezi kudeal na watu wasiotaka matokeo, uchaguzi umeshapita.CDM iitishe mkutano mkuu au baraza kuu, au kamati kuu. Wazungumze kuhusu hiyo issue. Ikiwezakana wapige kura kati ya hizi options mbili.
Moja nani anataka hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi na ya pili hakuna mabadiliko, kuna uchaguzi, tutapambana kuwaelimisha wananchi wakati wa kampeni jinsi ya kusimania uchaguzi usiibiwe.
Napendekeza CDM wapambane ikibidi iwe uwanjani, kuliko, ndani ya ulingo. Mkakati huu unakupa nguvu zaidi, sauti ndani au nje ya bunge.
Muhimu zaidi inaunganisha wanachama wao wanachama wanaojiandaa kuandamana, kupambana Mgombea wao asiibiwe kura kuliko hii kauli ambayo haieleweki tutazuia uchaguzi kivipi?
Binafsi naona CHADEMA wakaze kabisa na wasiseme zile kauli tata, kama "Hatutasusia uchaguzi bali tutaamasisha watu wasiende kupiga kura" badala yake waseme "Hatutashiriki Uchaguzi kama hakuna mabadiriko ya sheria na taratibu za uchaguzi".
Ni ujinga kushiriki halafu mnaibiwa na hamna cha kufanya. Bora kuatoshiriki, ili wananchi wasishiriki, hapo CCM itajionea inawafuasi kiasi gani nchi hii.Kwanini wasishiriki uchaguzi, huku wakihamasisha kama wataibiwa wataleta maandamano nchi nzima kila kituo cha kupiga kura, kila sekemu, mkoa Tanzania?
Wakishiriki hawawezi kukosa kura hata milioni tano. Itawapa wabunge hata 30. Hao wanaweza kuwa sauti yao bungeni. Duniania. Pia watapata ruzuku. Ipi ni better options.
Usishiriki uchaguzi uwe pembeni, irrelevant, mfu, usiye na sauti au ushiriki uwe na sauti, pesa, relevant?
Usiposhiriki NCCR,TLP ACT na wengine wakishiriki na kupata viti 20 unafikiri CCM inaona kuna shida yoyote.Ni ujinga kushiriki halafu mnaibiwa na hamna cha kufanya. Bora kuatoshiriki, ili wananchi wasishiriki, hapo CCM itajionea inawafuasi kiasi gani nchi hii.
Chama pekee kinaweza kushinda jimbo ni CHADEMA hivyo vingine labda vipewe kama CCM ifanyavyo miaka yote.Usiposhiriki NCCR,TLP ACT na wengine wakishiriki na kupata viti 20 unafikiri CCM inaona kuna shida yoyote.
CCM inaweza kuamua kuwaachia viti 30 kwa makubaliano maalum, wapate ruzuku kiasi flani, wawe viongozi wa kamati waseme uchaguzi ulikuwa wa wazi, huru na wa haki unafikiri Chadema haitapata sauti ikiwa nje ya mchakato wote na nje ya bunge.
Hata kama CDM haitapata Urais, itaibiwa wabunge wengi, bado itapata kura kwa mamilioni, 3- 5milioni. Hiyo ni nguvu tosha kuliko kuwa na zero,nil, sifuri. Kisha hukushiriki.
,.CCM itawaachia viti 30...na sio kura za haki ziamue mshindi..duh hii safari ni ngumu kuliko hata Ile ya kupigania Uhuru.Kuna Babu zetu walikuwa wako tayari mkoloni abaki nchini ilimradi wao wanakula na kushiba,basi!Usiposhiriki NCCR,TLP ACT na wengine wakishiriki na kupata viti 20 unafikiri CCM inaona kuna shida yoyote.
CCM inaweza kuamua kuwaachia viti 30 kwa makubaliano maalum, wapate ruzuku kiasi flani, wawe viongozi wa kamati waseme uchaguzi ulikuwa wa wazi, huru na wa haki unafikiri Chadema haitapata sauti ikiwa nje ya mchakato wote na nje ya bunge.
Hata kama CDM haitapata Urais, itaibiwa wabunge wengi, bado itapata kura kwa mamilioni, 3- 5milioni. Hiyo ni nguvu tosha kuliko kuwa na zero,nil, sifuri. Kisha hukushiriki.
Ni kweli hata wakipiga kura watu 10 bado atapata kura milioni 50, hilo linaeleweka.
THey dont careNi ujinga kushiriki halafu mnaibiwa na hamna cha kufanya. Bora kuatoshiriki, ili wananchi wasishiriki, hapo CCM itajionea inawafuasi kiasi gani nchi hii.