likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,072
Waafrika tumezaliwa na silika ya unafiki na kulipenda jambo baada ya kulikosa.
Inawezekana hii ni silika ya binadamu wote, ila mimi kwa uzoefu wangu watanzania tunakipenda kitu baada ya kupotea.
Mtu akifa atapewa kila aina ya sifa.
Msanii akifa basi nyimbo zake zitapgwa kwenye radio utadhani amerekodi leo
Shambuliz la Lissu ni wazi kuwa lililenga kuua na kama si Mungu, leo kila mtu angekuwa busy kupitia hotuba za lisu kwa mapenz ya juu hata kama alikuwa anampuuza enzi za uhai wake.
Lakini sasa maadui zake wapo tumbo joto kwa sababu umaarufu wa lisu umeongezeka zaidi ya 500%, hata ambao walikuwa hawamfuatilii wanafuatilia habari zake.
Lisu akirudi atapendwa na kufuatlia kwa karibu na hata ambao walimpuuza mwanzo na hvyo kupeleka majonzi kwa maadui zake, kwa hakika inauma sana, unampga chura teke ukitegeme utamwumiza kumbe ndyo kwanza umemsaidia.
Ugua pole lisu, Mungu akupe afya imara watanzania wanakusubiri kwa hamu na wamekumis sana.