Kinachoua bomu linapolipuka ni nini?

Wadau naomba kuelimishwa bomu linapolipuka nini haswa kinachoua watu je ni moto ni moshi ni mstuko ni mrusho au ni nini maana sielewi. Nipeni elimu ili nijue na ikitokea nijue najikinga vp

.
.
.
Hatari kwa Afya
 
Sijatumia formula, nimetumia mchoro kulingana na swali lililoulizwa
nao ni kama mfano tu wa ulichokielezea kuhusiana na hand balm/hand grenade.

Ila kama utaniambia huo mchoro ni wauongo ntakubaliana na wewe kwasababu za msingi.



 
Du!!Bosi aise haka kaelimu kazuri...sasa inakuaje na risasi?au mfumo ni huo huo..mara nyingi ganda la risasi linabaki kwa mpigaji..

Unapozungumzia ganda la risasi au bullete case kwa kimombo, kazi yake kubwa ni kushikilia
risasi yenyewe angalia risasi katika huu mchoro hapa chini.



Hiyo iliyoruka ndiyo risasi yenyewe lakini inaporuka inaacha ganda nyuma kwa mpigaji kwasabu kazi yake ganda inakua tayari imekwisha.

SABABU YA GANDA KUBAKIA !

Tizama huu mchoro hapa chini.


hapo utaona namba mbili "2" ndilo ganda lenyewe la risasi ambalo linashikilia Risasi pamoja na Vitu vinavyofanya risasi iende kwa kasi, vitu hivyo ni kama gunpowder ambayo imecontain Sulphur, Charcoal na Salt petre ambayo ndiyo inayo act kama oxidizing agent inayoanzisha reaction na hizo zingine kama fuel, yaani zinachomeka nakutoa heat and energy. Na hii gunpowder ndiyo hutumika mara nyingi kwasabu ina time of reaction kubwa kuliko
cordite, ambayo ipo slow kidogo.

Nilivyo vizungumzia hapo vimeainishwa kwa namba 3 katika mchoro.
Mtu anapofyatua risasi hako kalikoonyeshwa kwa namba 5 ka primer kanashtua ivyo vitu vya ndani namba "3" ambavyo ni "propellant" vinafanya reaction nakusababisha presha kubwa ndani hivyo kuiachia Risasi iende kwa kasi, hapo ndipo ganda hubaki nyuma na kuiacha risasi iende mbele.


alafu ukichumchunguza aliyepigwa risasi utaona katundu kamduara kadogo,aidha linapotokea ni pana...ebu lete maneno mkuu...

Hapa inaingia knowledge ya physics ila utanielewa tu mkuu.
Mfano:
Ukipiga risasi kwenye kioo, risasi itapenya nakuacha tundu, hapa nazungumzia vioo vya kawaida sio vile vya kwenye movie au vya kwenye gari la Obama.
Haya risasi inaacha tundu, lakini tukichukua jiwe tukarusha kwenye kioo, kioo kitapasuka kwasabu ifuatayo.

SPEED:
speed ya jiwe ni tofauti na ya Risasi, risasi ina speed kubwa kwahiyo haichukui muda mwingi kubaki kwenye kioo na kufanya force isambae kwenye kioo.
Jiwe lenyewe linakuwa na speed ndogo kwahiyo linatumia muda mwingi kubaki kwenye kioo nakufanya force isambae kwenye sehemu kubwa ya kioo na hivyobasi kufanya kioo kipasuke.



Ndomana utaona mtu akipigwa risasi inapenye nakuacha katundu kwasabu ya speed kubwa ya risasi.

snipa
 
Last edited by a moderator:
Bomu linapolipuka linatoa shock waves ambazo zina uwezo wa kupenya solid materials au any objects around, bomu linapokuwa initiated (Hakuna bomu linalolipuka bila initiation,haya yanayorushwa katika majengo mengi yametengenezwa kuwa initiated by impact) lina-release energy at very high temperature and pressure, hewa inayotokana na mlipuko huo inakuwa katika hiyo hali temperature na presha kubwa na pia kutegemea na chemical composition ya bomu hilo hewa yake inaweza kuwa na sumu tofauti, vyote hivyo vinaweza kumwua mtu either kimojawapo au vyote kwa pamoja; yaani
1. zile shockwaves
2. Energy released under very high temperature and presha.
3. hewa (Au particles) itokanayo na mlipuko
Na kingine kinachoweza kuua ni vile vitu vinavokuwa vimevunjwa au kubomolewa na mlipuko, kama jengo linalobomoka etc

NB; Bomu limeundwa na material ambayo yakiwashwa (Initiated) yanatanuka sana na kwa haraka sana.....
 
Wadau naomba kuelimishwa bomu linapolipuka nini haswa kinachoua watu je ni moto ni moshi ni mstuko ni mrusho au ni nini maana sielewi. Nipeni elimu ili nijue na ikitokea nijue najikinga vp

Mkuu shikamoo...karibu kwetu Tungamalenga hatujajui mabomu wala risasi...
 
FaizaFoxy
Kwani mtume aliagiza watu wauliwe kwa mabomu?

Ni hadaa gani kwenye dini hutumika hadi kuwashawishi watu waweze kujitoa muhanga

Hapana, Mtume Yesu aliagiza tuuwe kwa upanga, tubebe ma hand bag yetu na tukauze "joho" zetu (tutembee utupu) lakini Upanga tusikose.

Kasome Luka 22:36
 

Kwa akili yako unazani inawezekena
 
Mimi sidhani kama kuna utata wala woga juuu ya hilo linalozungumziwa maana ndo ulimwengu tulio nao kwa sasa, waweza ogopa kujua lakini likakupata na ukashindwa jinsi ya kujikwamua
 
Mie nataka LIPIGWE nione unavyorukiwa na akina Mama wenzako, hasa wale NINJA.

Hiyo chuki yako kwa Waislam ni bure tu.

Ni kujidanganya tu. Ukweli unajulikana. Unless uwe ni mwehu.

"wale Ninja" wamekukosea nini? au inakunyima raha unapokosa kuwaona miili yao?

Civilization ya mwanaadam ilianza kwa kujuwa kujistiri na si kwa kutembea uchi. Sasa fikiri, dada zako na mama zako wanaotembea nusu uchi na "wale NINJA" ni nani yupo "civilized"?

1 Wakorintho 11
4 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
5 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

Manawatembeza vichwa kutwa kucha, si kanisani si mbarabarani. Sasa tunaona badala ya kuwakata nywele mnawabandika za maiti wa India. Kinyume kabisa mafundisho yenu.

Sisi tunaojifunika tunafata Qur'an yetu, pale waliposhindwa mama zenu na dada zenu kufata kitabu chenu, kinawauma nini?:

"…Tell your wives and your daughters and the women of the believers to draw their cloaks (veils) all over their bodies That will be better, that they should be known (as free respectable women) so as not to be annoyed (molested or insulted)..." (Quran 33:59)
 

Kwa skuiz uvaaji mbovu hauna dini asee kwanzia Wakristo Waslam mpaka wasio na dini wote mulemule so mtu asitetee kwa kua yeye ni upande flan nakati mtaani hawa wadada tunawaona na tunajua vizuri ....
 
Kwa skuiz uvaaji mbovu hauna dini asee kwanzia Wakristo Waslam mpaka wasio na dini wote mulemule so mtu asitetee kwa kua yeye ni upande flan nakati mtaani hawa wadada tunawaona na tunajua vizuri ....

Kasome tena. Utaelewa ni nini nilichokijibu, sijaongelea individuals. Naongelea kukataa kabisa mafundisho.

Ukitaka kuongelea individuals ni simple. Hawafati mafundisho ya dini zao, wanakufuru. Lakini hotomkuta Muislam mwanamke anaingia msikitini kavaa hovyo, sasa katazame kanisani.
 

Kuna demu huwa namsaulaga hijab. Kwa hiyo tuamini kwamba kuvaa hijab ni utakatifu?
 
Kuna demu huwa namsaulaga hijab. Kwa hiyo tuamini kwamba kuvaa hijab ni utakatifu?

= namsaula

Kwanza hilo neno utakatifu halipo kwenye Uislam, hiyo ni terminology ya kikanisa tena katoliki. Waislam amma tuna "mcha Mungu" au hatuna.
 
= namsaula

Kwanza hilo neno utakatifu halipo kwenye Uislam, hiyo ni terminology ya kikanisa tena katoliki. Waislam amma tuna "mcha Mungu" au hatuna.

Yote kwa yote, tena ni mke wa mtu kama wewe. Na hajawahi kupungua utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…