Kinachotutokea wanaume huko saloon

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,724
Samahanini kwa Picha lakini ujumbe ufike maana naamini hakuna mgeni kwa haya..

Jamani Wapenzi wake zetu, hivi kweli Mnajua yanayotukumba sisi wapenzi na waume zenu tunapokwenda kunyoa ktk Barbrshop (Hair Salon za Kiume)? Hayo hapo Chini...
Kama hii mbinu ameibuni shetani basi shetani wa sasa ni Kijana tena Sharobaro!...
... Kwani Hawa wadada wao hawaolewi wakae tu na waume zao ndani?
 
neno la Mungu linasema, "amwangaliae mwanamke kwa kumtamani,amezini naye moyoni"
 

Tako na paja ni ndugu wa damu hawatengani
 
Mi Geita siku moja nilinyolewa na mwanamke huku ananitomasa mashavu kunifanyia massaging walah toka siku hiyo hata kama niko Dar naacha msituni mfyekaji yuko Geita biashara akili
Baada ya kunyolewa na massaging akanipiga busu usoni akaniambia karibu babu.Sintosahau wororo wa ule mkono nina hakika wajukuu zangu ningekuwa na bibi yenu pamoja na uzee angezipiga na mjukuu wake
 
Aise kuna siku nilitoa buku 5 nikaogopa kuomba chenji
 
neno la Mungu linasema, "amwangaliae mwanamke kwa kumtamani,amezini naye moyoni"

Hiyo kuzini naye moyoni sitaki, nataka mgegedo wa nyama kwa nyama!!!

Anayejua saluni kama hizo anipe direction vilevile na bei elekezi!!!
 
Yaani saluni kama hizo ukienda na mkeo masaji yao wanafanya Kama wanachimba mtaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…