mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
Wana JF,
Kama tunavyojua kua hali imekua ngumu na wapiga deal sasa ulimi nje, yaani hawaja surrender lakini wanakomaa na Auncle Magu sasa kinachotokea baada ya posho kufutwa katika taasisi nyingi ni maboss na watendaji wengine wanakomaa na wafanyabiashara wanaosupply vitu mbali mbali katika taasisi hizo.
Kwanza wanakuweka wazi kua hapa cha kwetu kiwe shilingi kadhaa angalia kama utaweza na file linaposogea na kufika kwa mtu wa mwisho kusaini ili pesa itoke jamaa anadinda na file lako mezani na akijua na kuhakikisha halitoi file mpaka umeongea kitu kua utamtoa ngapi, nina majina ya hizo taasisi ikiwepo hii yetu ahahaha ahahahahaha mwone ulivotoa macho mi ni mtunza hesabu na pesa sasa ile taasisi inayotusimamia.
(Hope ushaelewea ni taasisi gani) nyingine ni ya TANAPA (kuna wapigaji hapa Dunia inasubiri) nyingine ni Wizara ya Maji , TANESCO walikua wameacha ila baada ya kutolewa jamaa atakaeletwa lazima awe mpigaji.
Hii hali imefanya wafanyabiashara wengi kuisoma namba maana kwa sasa biashara ni seling price halafu ukija hapa ndani lazima uchomolewe na bado pesa uliyochukua huenda ni ya mkopo mbona mnanyooka kwa watendaji mnaofanya hivi hebu tue na huruma kidogo wajameni.