assume kwa siku unaperuzi jf kwa lisaa limoja, ukiwa na 2g sababu net ipo slow unafungua page 50 kwa saa, ila ukiwa na 4g sababu net ipo faster unafungua page 100 hivyo unakuwa unatumia mb nyingi net ikiwa faster,jazia nyama hapa.. mi najua inaongezeka kasi tu
mfano ku download video ya 200mb.. ita ku cost hiyo hiyo regardless unatumia 2G au 5G
mi kwa maoni yangu naona Bundle zina panda kwa sababu wanajua mama hana cha kuwafanya..
na watapandisha zaidi na zaidi
Tufanye wewe matumizi yako wewe ni GB 1 kwa siku kwenye simu yenye uwezo wa 3G na ambayo si ya kisasa. Miaka mitano baadae zimekuja simu mpya za kisasa na application zenye uwezo wa juu zaidi ambao unafanya kutumia data kwa wingi zaidi.Wiki mbili zilizopita tigo waliniuzia 1GB moja kwa 1000 nitumie siku 3 ,leo 0.5Gb for 1000/- with 3 day lifetime
Hapo hayo makorokoro yako yanahusiana nini
Nikuulize, wewe simu yako kwa wastani unatumia GB ngapi kwa siku?!Ko hizo ndo sababu za voda kunipunguzia mb kutoka 1024 hadi 550mb kwa buku ile ile?? Mkuu hauko serious.
Bei ya vifurushi kupanda ovyo ni tamaa tu ya wenye mitandao na udhaifu wa viongozi wetu.
Exactly , kapuyangaKichwa cha mada na content yako haviendani
Ulichokizungumzia ni sababu za data kutumika kwa wingi na sio sabab za kuongezeka kwa gharama ya data
Jaribu kuangalia na upande wa pili pia! Bundle wamepunguza 3gb kwa 3000 hadi 1.5 GB kwa 3,000 halafu nisingizie simu?Nadhani hamjachunguza muone.... Me nimesha andika nyuzi zaidi ya tatu hapa kulaumu kuhusu bundle hadi nimejiona kichaa.
Dah mkuu umenielewa vema sana. Ila nimegundua wabongo wengi uelewa wao upo chini sana sijui shida ni nini?!assume kwa siku unaperuzi jf kwa lisaa limoja, ukiwa na 2g sababu net ipo slow unafungua page 50 kwa saa, ila ukiwa na 4g sababu net ipo faster unafungua page 100 hivyo unakuwa unatumia mb nyingi net ikiwa faster,
mfano mwengine unaangalia hio video, quality ya video unapewa kutokana na speed yako, ukiwa na 2g utaletewa quality ndogo 144p ama 240p ila ukiwa na 4g unaletewa hd mpaka 4k, unless umeset manual quality gani unataka data zitaenda nyingi ukiwa na speed kubwa
Habarini.
kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza mwenendo wa mabadiliko ya gharama za vifurushi. Kwa maana ya internet bundles.
Nimekuja kugundua kuwa bundle haziliki kwasababu hii mitandao wanatuibia, bali zinaisha kwasababu ya mabadiliko ya teknolojia ya utengenezaji wa simu hizi janja yaani Smartphones.
Kwa wastani, simu ya zamani kwa GB 1 ulikuwa unaweza toboa nayo hata wiki mbili smartphone za kisasa kutoboa 1GB siku nzima ni mtihani. Sasa katika upembuzi nimegundua yafuatayo.
1. Mitandao ya kijamii yenye addiction ya hali ya juu imezidi kuongezeka. Kuna Instagram, TikTok, Facebook, Twitter, Clubhouse, telegram, WhatsApp, YouTube, etc . Hii ni michache ila kuna zaidi.
Mitandao hii inafanya kuongezeka kwa matumizi ya data mara dufu na hii hutokana na upgrades za hizo apps kupitia updates za mara kwa mara ambazo huleta features za kisasa zinazohitaji data zaidi.
2. Apps nyingi huwa zinafanya data collection. YES , majority ya hizi apps ni spy bugs zinazoturekodi na kukusanya mafile ya taarifa na kutuma katika servers huko kwa wenyew. Hili swala kwa nchi zetu za dunia ya tatu sio issue sana sababu less of us pay attention to that ila majority don't sababu wana uelewa mdogo sana kuhusu madhara yake na hivyo haiwatishi.
Hii mada ilishakuwa gumzo sana South Africa hapo baada ya watumiaji wa Sim aina ya Tecno, Infinix, itel kureport juu ya hilo swala. Ukusanyaji huu wa Data hupelekea gharama za ziada kwa watumiaji wakati zinatuma file kimya kimya.
3. Quality za video, audio na images zinabadilika kwa kuongezeka ubora ukilinganisha na za zamani. Imagine kuna sim inatoa video kwa quality kubwa sana kupitia camera zake. Ukitumiwa hizi files zinakuwa katika standard ya juu sana na kuzidownload inagharimu pia. Au ukienda YouTube utaona video nyingi zimewekwa quality ya juu ingawa unaweza adjust quality iwe simple.
Hii ina sababishwa na maboresho ya quality za camera,mic,speakers na Vioo vya simu kama ilivyo kwa devices nyingine kama camcorders,laptops, monitors screens, television sets, etc.
4. Apps nyingi za sasa ni background active yaani unapoiwasha simu wakati wenzako wana interact huko yenyewe inakukusanyia data ili unapoifungua upate history mkusanyiko wa taarifa za yaliyojiri ukiwa offline au mbali na simu. Hii inafanya consumption ya data kuwa unstoppable. Ni sawa na gari ambayo imepaki ila AC inawaka mafuta yataendelea kuchomeka tu.
5. Kubadilika kwa mawimbi na nguvu ya internet kutoka 3G kuja 4G na sasa 5G. Hii inamaanisha the more speed the more mafuta kusapoti kasi. Hivyo basi the more tunachange mawimbi haya ya mtandao the more consumption ya data inaongezeka na kula bundle nyingi.
Therefore, hadi hapo unaweza kuona kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea hivi sasa wakati sisi bado tukitumia bundle zile zile za tokea mwaka 2012. Hii ni kama kwenda dukani kununua mchele kilo 1 ila idadi ya wageni inaongezeka kila uchao, then tuanze kumlaumu muuza duka kuwa anatuibia mchele kwa kupunja na kupima kidogo badala ya sisi kujitathimini mabadiliko katika matumizi yetu.
Ukitazama sim tulizo nazo kwa sasa ni za kisasa sana na ni advanced.
Therefore, nadhani ni muda muafaka wa makampuni ya simu kuwekeza katika teknolojia ya tofauti kama fiber ambayo inasaidia sana upande wa gharama ili internet isiwe inauzwa kama Anasa wakati ni necessity kwa sasa.
Wadau pia ni vema tukaanza mijadala ya wazi ili tutazame namna ya kuiagiza serikali kupitia mamlaka yake itazame namna mpya ya kusaidia na sekta binafsi ili tuweze kubadili bundles za simu na kuziupgrade ziendane na nyakati na teknolojia.
Nilikuwa najiuliza why majuu ni mwendo wa wi-fi na unlimited packages 24/7 now naelewa kuwa ni kwasababu wanafanya urahisi kwa raia wao kupata access nzuri ya internet kuweza kutumia bila shida.
Kwa sasa kwenye simu ya wastani hizi za android kuanzia 8 kwenda juu unahitajika kuwa na wastani wa not less than 5 Gb kwa siku ili uweze kubrowse kwa kujiachia yaani apps zote utumie kwa raha zako. So 5GB mara siku 30 ni sawa na total ya 150Gb kwa mwezi. Hebu jaribu kutafuta hizo Gb kwa bundle za sasa utalipia bei gani. Halafu kwa bei hiyo tazama gharama za WiFi internet unlimited bundles ni bei gani kisha tujadili nini kifanyike na kushare mawazo.
Haujaelewa. Kubali umefeli kuelewa. Ngoja nikupe mfano, ukielewa logic iliyopo ndani yake utaweza kureason vema.Exactly , kapuyanga
)

. Mbali tu ya kuwa na consumption kubwa ila lina ujazo mkubwa zaidi wa 50, lita 5 zaidi ya IST yako ya zamani.

Wezi tu hawaHabarini.

Hiyo ni issue nyingine kabisa kinyume na hoja kuu katika huu uzi. Mimi nimelenga kuongelea namna simu kama kifaa zinachangia kubunya data.Jaribu kuangalia na upande wa pili pia! Bundle wamepunguza 3gb kwa 3000 hadi 1.5 GB kwa 3,000 halafu nisingizie simu?
Kiwango cha dawa kinachotumika ni sambamba na idadi ya apps ambazo zinachota data kwenye bundle yako.Mimi nimezima background data ili kupunguza ulaji wa mb's ,maana Hadi nimewapigia halotel Leo si kwa spidi hii .
Swali langu baada ya kuzima hio background data Kuna athari yeyote itaikuta simu yangu?
😍Habarini.
kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza mwenendo wa mabadiliko ya gharama za vifurushi. Kwa maana ya internet bundles.
Nimekuja kugundua kuwa bundle haziliki kwasababu hii mitandao wanatuibia, bali zinaisha kwasababu ya mabadiliko ya teknolojia ya utengenezaji wa simu hizi janja yaani Smartphones.
Kwa wastani, simu ya zamani kwa GB 1 ulikuwa unaweza toboa nayo hata wiki mbili smartphone za kisasa kutoboa 1GB siku nzima ni mtihani. Sasa katika upembuzi nimegundua yafuatayo.
1. Mitandao ya kijamii yenye addiction ya hali ya juu imezidi kuongezeka. Kuna Instagram, TikTok, Facebook, Twitter, Clubhouse, telegram, WhatsApp, YouTube, etc . Hii ni michache ila kuna zaidi.
Mitandao hii inafanya kuongezeka kwa matumizi ya data mara dufu na hii hutokana na upgrades za hizo apps kupitia updates za mara kwa mara ambazo huleta features za kisasa zinazohitaji data zaidi.
2. Apps nyingi huwa zinafanya data collection. YES , majority ya hizi apps ni spy bugs zinazoturekodi na kukusanya mafile ya taarifa na kutuma katika servers huko kwa wenyew. Hili swala kwa nchi zetu za dunia ya tatu sio issue sana sababu less of us pay attention to that ila majority don't sababu wana uelewa mdogo sana kuhusu madhara yake na hivyo haiwatishi.
Hii mada ilishakuwa gumzo sana South Africa hapo baada ya watumiaji wa Sim aina ya Tecno, Infinix, itel kureport juu ya hilo swala. Ukusanyaji huu wa Data hupelekea gharama za ziada kwa watumiaji wakati zinatuma file kimya kimya.
3. Quality za video, audio na images zinabadilika kwa kuongezeka ubora ukilinganisha na za zamani. Imagine kuna sim inatoa video kwa quality kubwa sana kupitia camera zake. Ukitumiwa hizi files zinakuwa katika standard ya juu sana na kuzidownload inagharimu pia. Au ukienda YouTube utaona video nyingi zimewekwa quality ya juu ingawa unaweza adjust quality iwe simple.
Hii ina sababishwa na maboresho ya quality za camera,mic,speakers na Vioo vya simu kama ilivyo kwa devices nyingine kama camcorders,laptops, monitors screens, television sets, etc.
4. Apps nyingi za sasa ni background active yaani unapoiwasha simu wakati wenzako wana interact huko yenyewe inakukusanyia data ili unapoifungua upate history mkusanyiko wa taarifa za yaliyojiri ukiwa offline au mbali na simu. Hii inafanya consumption ya data kuwa unstoppable. Ni sawa na gari ambayo imepaki ila AC inawaka mafuta yataendelea kuchomeka tu.
5. Kubadilika kwa mawimbi na nguvu ya internet kutoka 3G kuja 4G na sasa 5G. Hii inamaanisha the more speed the more mafuta kusapoti kasi. Hivyo basi the more tunachange mawimbi haya ya mtandao the more consumption ya data inaongezeka na kula bundle nyingi.
Therefore, hadi hapo unaweza kuona kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea hivi sasa wakati sisi bado tukitumia bundle zile zile za tokea mwaka 2012. Hii ni kama kwenda dukani kununua mchele kilo 1 ila idadi ya wageni inaongezeka kila uchao, then tuanze kumlaumu muuza duka kuwa anatuibia mchele kwa kupunja na kupima kidogo badala ya sisi kujitathimini mabadiliko katika matumizi yetu.
Ukitazama sim tulizo nazo kwa sasa ni za kisasa sana na ni advanced.
Therefore, nadhani ni muda muafaka wa makampuni ya simu kuwekeza katika teknolojia ya tofauti kama fiber ambayo inasaidia sana upande wa gharama ili internet isiwe inauzwa kama Anasa wakati ni necessity kwa sasa.
Wadau pia ni vema tukaanza mijadala ya wazi ili tutazame namna ya kuiagiza serikali kupitia mamlaka yake itazame namna mpya ya kusaidia na sekta binafsi ili tuweze kubadili bundles za simu na kuziupgrade ziendane na nyakati na teknolojia.
Nilikuwa najiuliza why majuu ni mwendo wa wi-fi na unlimited packages 24/7 now naelewa kuwa ni kwasababu wanafanya urahisi kwa raia wao kupata access nzuri ya internet kuweza kutumia bila shida.
Kwa sasa kwenye simu ya wastani hizi za android kuanzia 8 kwenda juu unahitajika kuwa na wastani wa not less than 5 Gb kwa siku ili uweze kubrowse kwa kujiachia yaani apps zote utumie kwa raha zako. So 5GB mara siku 30 ni sawa na total ya 150Gb kwa mwezi. Hebu jaribu kutafuta hizo Gb kwa bundle za sasa utalipia bei gani. Halafu kwa bei hiyo tazama gharama za WiFi internet unlimited bundles ni bei gani kisha tujadili nini kifanyike na kushare mawazo.
RAM .. ROM.. havihusiani na ulaji wa data kuwa mkubwa hata siku moja.. wala hiyo network Generation haihusiani na ulaji kuwa mkubwa kwa namna moja ama nyingine..Hiyo ni issue nyingine kabisa kinyume na hoja kuu katika huu uzi. Mimi nimelenga kuongelea namna simu kama kifaa zinachangia kubunya data.
Swala la serikali kuongeza tozo, swala la bundles kubalishwa bei mara kwa mara hilo pia lina mchango ila halikuwa katika mjadala hapo juu kama umenisoma vema.
Mimi nakwambia hivyo kwasababu kuna watu wanapewa allowance ya data na mawasiliano na ofisi zao. Na haya mabadiliko ya bundle huwa wanayaaddress kwa kuongeza kiasi cha pesa (interms of vocha wanapewa) kulingana na bei za soko ili isiathiri kiwango cha data wanachoweka.
Sasa unakuta mtu anatakiwa kutoweka chini ya GB 5 ili aweze fanya kazi zake. So kama simu yake ya awali ilikuwa ni ya 3g akinunua mpya ya 5G , RAM 12gb, ROM 500GB, sijui nini nini huko mbeleni, simu ya performance ya juu then jua Utafunaji wa data utaongezeka mara dufu ukilinganisha na simu ya kwanza na hii itaathiri kiwango cha data kinavyodumu katika simu hii.