General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 705
Umeandika upuuzi tu
RAM .. ROM.. havihusiani na ulaji wa data kuwa mkubwa hata siku moja.. wala hiyo network Generation haihusiani na ulaji kuwa mkubwa kwa namna moja ama nyingine..
Zungumzia swala la OS yaan software husika ya simu/computer husika.. na settings zilizowekwa.. mfn win 7 na win 10 ktk same pc specs aliyeweka win 10 atatumia bandwidth kubwa kuliko aliyeweka win7 kutokana na software resources zinazorun nyuma ya pazia na updates za mara kwa mara..
Hiy hiyo win 10 ukiifanyia settings itatumia bandwidth kiduchu compared to win7 ambayo haijaguswa ktk upande wa settings (cfg)..
Same applied ktk hizi sim janja .. Ios na Android zinatofautiana.. pia hiyo hiyo android ina version nyingi (kernels mbali mbali)
Itoshe kusema kwamba ulaji wa bandwidth unategemea kias kikubwa na OS pmj na Cfg na sio network settings or RAM or ROM.
100% upo sahihi, kwa mwenye kuelewa ataelewaHabarini.
kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza mwenendo wa mabadiliko ya gharama za vifurushi. Kwa maana ya internet bundles.
Nimekuja kugundua kuwa bundle haziliki kwasababu hii mitandao wanatuibia, bali zinaisha kwasababu ya mabadiliko ya teknolojia ya utengenezaji wa simu hizi janja yaani Smartphones.
Kwa wastani, simu ya zamani kwa GB 1 ulikuwa unaweza toboa nayo hata wiki mbili smartphone za kisasa kutoboa 1GB siku nzima ni mtihani. Sasa katika upembuzi nimegundua yafuatayo.
1. Mitandao ya kijamii yenye addiction ya hali ya juu imezidi kuongezeka. Kuna Instagram, TikTok, Facebook, Twitter, Clubhouse, telegram, WhatsApp, YouTube, etc . Hii ni michache ila kuna zaidi.
Mitandao hii inafanya kuongezeka kwa matumizi ya data mara dufu na hii hutokana na upgrades za hizo apps kupitia updates za mara kwa mara ambazo huleta features za kisasa zinazohitaji data zaidi.
2. Apps nyingi huwa zinafanya data collection. YES , majority ya hizi apps ni spy bugs zinazoturekodi na kukusanya mafile ya taarifa na kutuma katika servers huko kwa wenyew. Hili swala kwa nchi zetu za dunia ya tatu sio issue sana sababu less of us pay attention to that ila majority don't sababu wana uelewa mdogo sana kuhusu madhara yake na hivyo haiwatishi.
Hii mada ilishakuwa gumzo sana South Africa hapo baada ya watumiaji wa Sim aina ya Tecno, Infinix, itel kureport juu ya hilo swala. Ukusanyaji huu wa Data hupelekea gharama za ziada kwa watumiaji wakati zinatuma file kimya kimya.
3. Quality za video, audio na images zinabadilika kwa kuongezeka ubora ukilinganisha na za zamani. Imagine kuna sim inatoa video kwa quality kubwa sana kupitia camera zake. Ukitumiwa hizi files zinakuwa katika standard ya juu sana na kuzidownload inagharimu pia. Au ukienda YouTube utaona video nyingi zimewekwa quality ya juu ingawa unaweza adjust quality iwe simple.
Hii ina sababishwa na maboresho ya quality za camera,mic,speakers na Vioo vya simu kama ilivyo kwa devices nyingine kama camcorders,laptops, monitors screens, television sets, etc.
4. Apps nyingi za sasa ni background active yaani unapoiwasha simu wakati wenzako wana interact huko yenyewe inakukusanyia data ili unapoifungua upate history mkusanyiko wa taarifa za yaliyojiri ukiwa offline au mbali na simu. Hii inafanya consumption ya data kuwa unstoppable. Ni sawa na gari ambayo imepaki ila AC inawaka mafuta yataendelea kuchomeka tu.
5. Kubadilika kwa mawimbi na nguvu ya internet kutoka 3G kuja 4G na sasa 5G. Hii inamaanisha the more speed the more mafuta kusapoti kasi. Hivyo basi the more tunachange mawimbi haya ya mtandao the more consumption ya data inaongezeka na kula bundle nyingi.
Therefore, hadi hapo unaweza kuona kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea hivi sasa wakati sisi bado tukitumia bundle zile zile za tokea mwaka 2012. Hii ni kama kwenda dukani kununua mchele kilo 1 ila idadi ya wageni inaongezeka kila uchao, then tuanze kumlaumu muuza duka kuwa anatuibia mchele kwa kupunja na kupima kidogo badala ya sisi kujitathimini mabadiliko katika matumizi yetu.
Ukitazama sim tulizo nazo kwa sasa ni za kisasa sana na ni advanced.
Therefore, nadhani ni muda muafaka wa makampuni ya simu kuwekeza katika teknolojia ya tofauti kama fiber ambayo inasaidia sana upande wa gharama ili internet isiwe inauzwa kama Anasa wakati ni necessity kwa sasa.
Wadau pia ni vema tukaanza mijadala ya wazi ili tutazame namna ya kuiagiza serikali kupitia mamlaka yake itazame namna mpya ya kusaidia na sekta binafsi ili tuweze kubadili bundles za simu na kuziupgrade ziendane na nyakati na teknolojia.
Nilikuwa najiuliza why majuu ni mwendo wa wi-fi na unlimited packages 24/7 now naelewa kuwa ni kwasababu wanafanya urahisi kwa raia wao kupata access nzuri ya internet kuweza kutumia bila shida.
Kwa sasa kwenye simu ya wastani hizi za android kuanzia 8 kwenda juu unahitajika kuwa na wastani wa not less than 5 Gb kwa siku ili uweze kubrowse kwa kujiachia yaani apps zote utumie kwa raha zako. So 5GB mara siku 30 ni sawa na total ya 150Gb kwa mwezi.
Hebu jaribu kutafuta hizo Gb kwa bundle za sasa utalipia bei gani. Halafu kwa bei hiyo tazama gharama za WiFi internet unlimited bundles ni bei gani kisha tujadili nini kifanyike na kushare mawazo.
Kubali kuwa umeandika mavi.Ofcourse vina endana , kuongezeka kwa matumizi kuna affect gharama unayoingia.
Ulichoandika sio Sababu za kuongezeka gharama za bundle za internet bali ni sababu za kuongezeka kwa matumizi ya bando za internetHabarini.

Vitu vipo vice versa hasa ktk nyanja ya TEHAMA.Machine ikishakuwa na high performance ROM, CHIPSET nzuri, , CPU na GPU nzuri, Quality camera, automatically fuel/data italiwa kwa wingi zaidi as mtumiaji atakuwa na uwezo wa kuingia na kutoka haraka na kwa urahisi zaidi, so yes ROM inaweza kufanya matumizi ya data kuongezeka indirectly.
Upo sahihiUlichoandika sio Sababu za kuongezeka gharama za bundle za internet bali ni sababu za kuongezeka kwa matumizi ya bando za internet