Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,330
- 2,283
Kwanza naipa pongezi sana Uchina kwa bidii ya biashara katika bara zima la Afrika. Wameangalia thamani yetu na kuleta bidhaa zinazoendana na kiasi cha pesa tuliyonayo.
Pamoja na hayo kitu ambacho bado hawajanishawishi kabisa ni radio na sabufa zao zina vitu vichache sana.
Kwanza kabisa ni display yake
Kioo kina vitu vichache sana, huwezi kujua flash unayocheza ina nyimbo ngapi,huwezi kujua aina ya EQ uliyoset,haionyeshi majina ya nyimbo n.k.
Kero nyingine ni remote zao,zina batan chache sana tofauti na standby, input na mute hakuna kingine cha maana. Hakuna sleep mode au timer. Hakuna shuffle n.k
Wanajitahidi lakini waweke display kama hizi
Unaona unachofanya kwenye radio yako. Ni kampuni gani ya kichina wanajitahidi kwenye mambo haya?