Kinachonifanya nisinunue subwoofer za Mchina ni hivi vitu

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,328
2,282
Kwanza naipa pongezi sana Uchina kwa bidii ya biashara katika bara zima la Afrika. Wameangalia thamani yetu na kuleta bidhaa zinazoendana na kiasi cha pesa tuliyonayo.

Pamoja na hayo kitu ambacho bado hawajanishawishi kabisa ni radio na sabufa zao zina vitu vichache sana.

Kwanza kabisa ni display yake
Toproad-20W-Big-Power-Bluetooth-Speaker-Portabel-Stereo-Bass-Nirkabel-Pesta-Speaker-dengan-Rem...jpg

Kioo kina vitu vichache sana, huwezi kujua flash unayocheza ina nyimbo ngapi,huwezi kujua aina ya EQ uliyoset,haionyeshi majina ya nyimbo n.k.
Kero nyingine ni remote zao,zina batan chache sana tofauti na standby, input na mute hakuna kingine cha maana. Hakuna sleep mode au timer. Hakuna shuffle n.k

Wanajitahidi lakini waweke display kama hizi
dzr-DSP.jpg

Unaona unachofanya kwenye radio yako. Ni kampuni gani ya kichina wanajitahidi kwenye mambo haya?
 
Kwanza naipa pongezi sana Uchina kwa bidii ya biashara katika bara zima la Afrika. Wameangalia thamani yetu na kuleta bidhaa zinazoendana na kiasi cha pesa tuliyonayo.

Pamoja na hayo kitu ambacho bado hawajanishawishi kabisa ni radio na sabufa zao zina vitu vichache sana.

Kwanza kabisa ni display yake
View attachment 1765648
Kioo kina vitu vichache sana, huwezi kujua flash unayocheza ina nyimbo ngapi,huwezi kujua aina ya EQ uliyoset,haionyeshi majina ya nyimbo n.k.
Kero nyingine ni remote zao,zina batan chache sana tofauti na standby, input na mute hakuna kingine cha maana. Hakuna sleep mode au timer. Hakuna shuffle n.k

Wanajitahidi lakini waweke display kama hiziView attachment 1765654

Wanadai maskini wengi wanashadadia subwoofer na sauti kubwa ya mziki kwenye nyumba zao.

Sijui ni kweli?
 
Kwanza naipa pongezi sana Uchina kwa bidii ya biashara katika bara zima la Afrika. Wameangalia thamani yetu na kuleta bidhaa zinazoendana na kiasi cha pesa tuliyonayo.

Pamoja na hayo kitu ambacho bado hawajanishawishi kabisa ni radio na sabufa zao zina vitu vichache sana.

Kwanza kabisa ni display yake
View attachment 1765648
Kioo kina vitu vichache sana, huwezi kujua flash unayocheza ina nyimbo ngapi,huwezi kujua aina ya EQ uliyoset,haionyeshi majina ya nyimbo n.k.
Kero nyingine ni remote zao,zina batan chache sana tofauti na standby, input na mute hakuna kingine cha maana. Hakuna sleep mode au timer. Hakuna shuffle n.k

Wanajitahidi lakini waweke display kama hiziView attachment 1765654
Unaona unachofanya kwenye radio yako. Ni kampuni gani ya kichina wanajitahidi kwenye mambo haya?
Mchina katufaa wabantu.
 
spekaer gani unazikubali.kwa kuchuja mziki vizuri??zile za studio nasikia noma sana
Mimi natumia speaker za beats by dre
Kna mwanangu mmoja wangu sana alijipunduaga,uzalendo ulinishinda
Ikabidi nimpige tu ...ila nlikuja mwambiaga
Baada ya muda alicheka sanaa

Ova
 
Kwanza naipa pongezi sana Uchina kwa bidii ya biashara katika bara zima la Afrika. Wameangalia thamani yetu na kuleta bidhaa zinazoendana na kiasi cha pesa tuliyonayo.

Pamoja na hayo kitu ambacho bado hawajanishawishi kabisa ni radio na sabufa zao zina vitu vichache sana.

Kwanza kabisa ni display yake
View attachment 1765648
Kioo kina vitu vichache sana, huwezi kujua flash unayocheza ina nyimbo ngapi,huwezi kujua aina ya EQ uliyoset,haionyeshi majina ya nyimbo n.k.
Kero nyingine ni remote zao,zina batan chache sana tofauti na standby, input na mute hakuna kingine cha maana. Hakuna sleep mode au timer. Hakuna shuffle n.k

Wanajitahidi lakini waweke display kama hiziView attachment 1765654
Unaona unachofanya kwenye radio yako. Ni kampuni gani ya kichina wanajitahidi kwenye mambo haya?
Kununua vitu vya Bei rahisi Kuna gharama kubwa.
Unaweza kuharibu vitu vyako vya thamani kwa sababu ya kuweka ndani vitu visivyo na ubora na visivyo salama
 
Kwanza naipa pongezi sana Uchina kwa bidii ya biashara katika bara zima la Afrika. Wameangalia thamani yetu na kuleta bidhaa zinazoendana na kiasi cha pesa tuliyonayo.

Pamoja na hayo kitu ambacho bado hawajanishawishi kabisa ni radio na sabufa zao zina vitu vichache sana.

Kwanza kabisa ni display yake
View attachment 1765648
Kioo kina vitu vichache sana, huwezi kujua flash unayocheza ina nyimbo ngapi,huwezi kujua aina ya EQ uliyoset,haionyeshi majina ya nyimbo n.k.
Kero nyingine ni remote zao,zina batan chache sana tofauti na standby, input na mute hakuna kingine cha maana. Hakuna sleep mode au timer. Hakuna shuffle n.k

Wanajitahidi lakini waweke display kama hiziView attachment 1765654
Unaona unachofanya kwenye radio yako. Ni kampuni gani ya kichina wanajitahidi kwenye mambo haya?
Tatizo la hizi sabufa mshenzi zinabase tofauti na uwezo wa housing yaani lile limdundo linafanya hadi msanii hasikiki anachoimba mbaya zaidi li mdundo linaanza kunyofoa misumali ya paa,pia hizi redio ni rahisi kuwa attacked na panya na mende.Yanaungua haraka sana iwapo umeme ukija tofauti.
Haya,maredio mara nyingi yanafaa kwa wale wanaoanza maisha ghetoni ili yazibe mlio wa demu ukiwa unampelekea moto kwenye nyumba za kupanga.Nikikuta mtu kaliweka sebuleni huwa naaga mapema kifupi siyapendi kama tumezaliwa nayo.
 
Back
Top Bottom