Kinachomtesa Shibuda ni urais

Kinachomtesa Shibuda ni urais

candid ni mwana siasa gani unayemuamini?[/QUOTE

Binadamu ana tabia ya kubadilika kama kinyonga. Mazoea nayo hujenga tabia ambayo baadaye hata unakuta mtu haambiliki. Sababu za kubadilisha uongozi, kuhamisha watumishi kutoka sehemu nyingine hadi ofisi nyingine, kubadilisha safu ya uongozi wa juu kila baada ya miaka mitano ni sababu hizo za kutoaminika wanasiasa na viongozi.

Hoja hizo hizo chama kimoja cha siasa kuhothi nchi kwa nusu karne athari zake ni kufanya kazi kwa mazoea badala ya kufuata haki, usawa, kanuni na sheria.
 
Back
Top Bottom