Unajua mitazamo ya watu kuhusu jambo/kitu fulani ni aina 3.
1. Optimist
2. Pessimist
3. Objective
EL ni homeboy wangu na church meber wangu sina chuki yoyote ila mimi niko Objective to the subject.
Nakushauri uwe Objective unapo-discuss mambo, Hata EL ana mambo mazuri tu, but tulionywa na MWL. kuwa mtu anayependa sana kwenda Ikulu tumwogope kama .....
Ndivyo alivyokuambia❔
Hii kumuandama mtu mmoja tu kwenye hili jukwaa ikionesha dhahiri ni kundi la kumchafua mtu si sawa. Huyu Lowassa si malaika ana madhaifu yake mengi tu na mazuri yake mengi pia kama ulivyosema. lakini aliyetangaza kugombea uraisi si yeye peke yake. Iweje anayeandamwa ni yeye tu???
Sawa; BUT any proof of commission?!; prove me wrong bro! am given to understand that most EL critics are driven by mere presumptions and most are fed by the grape vine?! Unfortunately EL has become the RAO; read Raila Amolo Odinga of Tanzania; the man most people love to hate!!
Hii kumuandama mtu mmoja tu kwenye hili jukwaa ikionesha dhahiri ni kundi la kumchafua mtu si sawa. Huyu Lowassa si malaika ana madhaifu yake mengi tu na mazuri yake mengi pia kama ulivyosema. lakini aliyetangaza kugombea uraisi si yeye peke yake. Iweje anayeandamwa ni yeye tu???
mnahangaika sana,nadhani silaha yenu ya mwisho ya kifungo imeprove failer
na wewe kinachokusumbua au kuumiza kichwa chako nn...mbulaaaa..Rais ni EL 2016-
Bro sijui wewe ni mfuatiliaji wa mambo kwa kiasi gani, No proof can change the Optimist or Pessimist's position, but to be Objective; and if hukuibukia juzijuzi tu hapa, mambo ya huyu bw. ni makubwa tangu awatengeneze wale jamaa wa L. Tours miaka ya mwanzo ya 90 hadi hii Richmond, Kagoda, n.k. kama mfuatiliaji wa mambo utahitaji proof gani tena? Ujinga wa watu wetu watadai utoe ushahidi huku wakiziba macho kabisa juu ya circumstantial evidences zote zinazomzunguka mtuhumiwa.Unadhani ukisema " haya tumwache , hakuna ushahidi" ndo anakuwa msafi? jamani tufungue bongo zetu!
Mbona uanaandika vitu visivyoeleweka una maana gani pilipili ipo shamba, pilipili gani hiyo ilioko shamba? Kila mwananchi anahaki ya kutoa rai yake katika suala kama hili na linamuhusu.Pili pili ziko shamba wewe zakushia nini?