wewe ni zuzu, ndio walewale mnaopewa pilau kwisha kazi, kama unashindwa hata kuunganisha kujiuzulu kwa EL na ufisadi wa Richmond basi hata upigiwe panda ni kazi bure. BYE.
Yaani nimefatilia nimegundua wewe ni kichwa ngumu alafu mgumu kuelewa! Chuki tu zinakutoa povu na mtakoma mwaka huu..mtahama hii nchi.
Mhe Kikwetu amekwisha kukuambia watateua mgombea anayekubalika na wananchi. Vile vile EL anataka kutimiza ndoto zake. Wajibu wako ni kupiga kura.
CHUKI BINAFSI haifai ndugu yangu. Wewe unapayuka na kumpaka matope huku mitandaoni mwenzako amenyamaza kimya hana muda na mada za kijinga anachanja mbuga. Kihunzi cha kwanza ameruka cha kuongezewa adhabu.
Ni msaka urais gan hana wafadiili?ebu tupe orodha ya hao wasiokua na wafadhili,wapambe na wala marafiki mkuu.
EL ni mtu mzima, anawajibika kwa maamuzi na matendo yake mwenyewe, kama yatamuumiza au kumnufaisha ni yeye mwenyewe wala sio sisi mashabenga wa nje, hiyo self actualisation unayoisema ndio path yake kama mwanasiasa, hatakiwi kuchoka mpaka aipate the biggest prize in the political game; The Presidency! so it is upon him and him alone to decide what he wants to do with his life and face consequences for his chosen path, NOT we mere bloggers!
But we are here to be analysts Bro!
Ndg MTK nakuunga mkono 80%. A man has to decide what to do at a what time and for what purpose and all these for his own good! Sio kiherehere mmoja tu kwenye JF kutaka kumwamria mtu kama EL chakufanya bila hata aibu! Shame kwa mleta mada!
wewe ni zuzu, ndio walewale mnaopewa pilau kwisha kazi, kama unashindwa hata kuunganisha kujiuzulu kwa EL na ufisadi wa Richmond basi hata upigiwe panda ni kazi bure. BYE.
Indeed; we can be analysts but lets be fair to subjects of our topics under discussion; each and everyone of us has a right of choice of path to self actualisation; EL included, we hold our destiny in our hands! someone must not be villified for a chosen path to self actualisation. we may not like him; but we should accept his right to determine what is right or wrong in his career path and life in general.
Subiri na yeye atasafishwa kama akina kagaboy na nchi alafu utafute pa kuficha uso wako
You might be right Bro. the subject under discussion is not what steps should one trace to be there, he has all the rights to decide. But fulfilling ones desire should not include solicits in the way that money become " A SOLICITOR"
that is not accepted even in the so called developed worlds