CosaNostra
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 382
- 139
Wadau, nimejiuliza mara nyingi kuwa kama ni kweli EL ana utoshelevu wa mali kama anavyotajwa na kama alikwisha kuwa PM, Ni nini kinachomfanya afanye yote tunayoshuhudia ili tu kuwa na tiketi ya CCM kuwania urais.
Nimefuatilia mahitaji ya binadamu kimaslahi kama yalivyochambuliwaga na wanataaluma nguli. Mmoja wa watu hao ni Maslow katika Theory ya Hierarchy of human needs. Zipo hatua tano 1. Basic needs 2. Security 3. Love 4. Esteem na mwisho pale ni hitaji lijulikanalo kama Self Actualization " what man can be, he must be"
Hili hitaji la 5 ndilo linalomtesa EL, tayari yote mengine kayamudu. Kitu kigumu kuelewa ni kuwa hitaji hili kamwe hiliwi fulfilled, ukipata mali utahitaji zaidi na zaidi, jina kuuubwa, ukipata vyeo hadi juu utahitaji zaidi na zaidi, ukipata urais wa TZ, utahitaji kupata wa EA, kujulikana Ulaya, kutukuzika zaidi, kuwa na majumba hata mitaa Ulaya, kumiliki vitu vikubwa mf. timu za mpira, vitega uchumi vya majina makubwa, n.k.
Kifupi ni vita isiyo mwisho.
Ushauri: EL amechoka mwili na akili, tumshauri tu apumzike ajilie mali zake kwa raha zake, sivyo amuulize Mobutu hiyo Self Actualization ilipomfikisha.
Naomba kuwasilisha.