Kinachomsukuma Lowassa kuupata Urais kwa udi na uvumba: kulinda ill gotten gains!

Dah....walau wenzako wa Sisiemu wanatumia Masaburi kufikiri ila wewe nahisi unatumia mavi kabisa...!
Yan kichwani kwako kuna mavi tu lol pole sana
 
Haw ni wale watoto wa makda si mnajua maish yatakuw mgumu san

Mkuu umenena but hata kama ni walee watoto wao wangepelekwa school wakapate education inayoeleweka n then waje kuwa vijana wachapakazi ktk kulijenga Taifa letu... kuliko walivyo sasa.

Angalia upuuz wanaoleta hapa jfs!
So insane person!
 
Mh Lowasa nihakika amedhamiria kutoka moyoni atakuwa Rais iwe kwa fedha ama dam atahakikisha anakuwa Rais ila kunajambo anapaswa kukumbuka asifikiri watu kuwa kimya ndio kwamba wanamuogopa ama wanamtetemekea hapana ila amshukuru Mungu maana michezo michafu amekuwa akichezeshea wenzake nakujiweka pemben watu wanaijuwa ila watu walikuwa wanalinda status yake na taifa pia ila sasa yeye ndio kachukua dhamana kuichokonoa serikali, kumchokonoa rais alie madarakani na hata taasisi nyeti za taifa. Mimi namshauri ajitafakari maana kwa mchezo huu hata panya ktk nyumba yake watakufa pindi watu wenye taaluma zao watakufanyia kazi. Jana kanyimwa hata kuzika na kwa mwenye akili na busara anajuwa maana yakunyimwa huko. In shot hiyo ni msg kali na nzito kwako na familia nzima. Unajuwa kabisa ikulu hutoenda hata kama ungejaza viwanja mia vya mpira watu ila wameshakukata wemeshakukata na wanaenda kukukata tena na aibu ya mwisho itakuwa kubwa kuliko ya mwanzo. Uchungu wa mwisho utakuwa mkali kuliko wa mwanzo na dhambi ya usaliti itakutafuna hata umauti. Zisome nyakati na wakati pamoja nakuwa wazir mkuu hujuwi adhabu ya usaliti wako? Hakika nathubu kusema wakakupime akili. Polen sana vijana mnao mshabikia Lowasa. Kidumu chama cha mapinduzi. KIDUMU.

Mama salma naye kaja JF. Hatareee!
 
Pole sana
 
Njoo na ushaidi wa utajiri wa Lowasa hapa sio ngonjera na majungu. Nyie ndio mnatakiwa kupimwa akili zenu kama zipo sawasawa. Unakaa na kufikiria uandike uongo gani uupeleke JF hii ni hatari sana.
 
Wanaomfuata Lowasa 99.99% ni illiterate, ndiyo maana wanashindwa kujua kwamba Lowasa ni moja ya watu waliochangia kwa kiasi kikubwa wao kuwa na maisha mabovu waliyonayo kwa kuiibia serikali na sasa anatumia pesa hizohizo kuwahadaa kwa kuwajazia mafuta bodaboda n.k. Kweli Tz bado imejaa wajinga kibao na hili halitokwisha mpaka Mungu atupe adhabu ya kutupatia kiongozi huyu mbovu ndo tutatia akili kwa miaka ijayo
 
Mtahangaika na Lowassa, tumeichoka ccm hatuitaki tumewachoooooka. Tumewavhoooooka
 
Mh Lowasa nihakika amedhamiria kutoka moyoni atakuwa Rais iwe kwa fedha ama dam atahakikisha anakuwa Rais ila kunajambo anapaswa kukumbuka asifikiri watu kuwa kimya ndio kwamba wanamuogopa ama wanamtetemekea hapana ila amshukuru Mungu maana michezo michafu amekuwa akichezeshea wenzake nakujiweka pemben watu wanaijuwa ila watu walikuwa wanalinda status yake na taifa pia ila sasa yeye ndio kachukua dhamana kuichokonoa serikali, kumchokonoa rais alie madarakani na hata taasisi nyeti za taifa. Mimi namshauri ajitafakari maana kwa mchezo huu hata panya ktk nyumba yake watakufa pindi watu wenye taaluma zao watakufanyia kazi. Jana kanyimwa hata kuzika na kwa mwenye akili na busara anajuwa maana yakunyimwa huko. In shot hiyo ni msg kali na nzito kwako na familia nzima. Unajuwa kabisa ikulu hutoenda hata kama ungejaza viwanja mia vya mpira watu ila wameshakukata wemeshakukata na wanaenda kukukata tena na aibu ya mwisho itakuwa kubwa kuliko ya mwanzo. Uchungu wa mwisho utakuwa mkali kuliko wa mwanzo na dhambi ya usaliti itakutafuna hata umauti. Zisome nyakati na wakati pamoja nakuwa wazir mkuu hujuwi adhabu ya usaliti wako? Hakika nathubu kusema wakakupime akili. Polen sana vijana mnao mshabikia Lowasa. Kidumu chama cha mapinduzi. KIDUMU.

we jamaa unaongea nini mbona sikuelewi.. we mwenyewe unaelewa ulichoandika? sielewiiiii
 
Tumechoshwa na MFUMO! Yeyote anayeweza kuundoa hu mfumo nitam-support, mengine tutajua baadaye!
 
acha tu arudishe japo kidogo hela alizopiga japo kidogo kupitia hizi kampeni za uraisi ila uraisi hapewi ataishia kuota
 
Wanaomfuata Lowasa 99.99% ni illiterate, ndiyo maana wanashindwa kujua kwamba Lowasa ni moja ya watu waliochangia kwa kiasi kikubwa wao kuwa na maisha mabovu waliyonayo kwa kuiibia serikali na sasa anatumia pesa hizohizo kuwahadaa kwa kuwajazia mafuta bodaboda n.k. Kweli Tz bado imejaa wajinga kibao na hili halitokwisha mpaka Mungu atupe adhabu ya kutupatia kiongozi huyu mbovu ndo tutatia akili kwa miaka ijayo

Naona wewe upo katika 0.1% iliyobaki ikimaanisha wewe ni 'literate'. Kwa kutumia hiyo literacy yako toa sababu tano za kwa nini unafikiri tuichague tena CCM?
 
Lowassa is a driven man!
Yuko possesed.

Ni lazima apate urais ili kulinda empire yake ya kibiashara, empire yake na ya "rafiki zake".
Lowassa si mjinga kuwania urais kwa nguvu kubwa na isiyo na kifani.
Siyo siri, Lowassa baada ya kumaliza chuo kikuu alikuwa mtoto wa kawaida kabisa wa mfanyakazi.
Kwa wanaomjua fika, wanajua kuwa utajiri wake wa kutisha ulianza pale alipopewa madara ngazi ya uwaziri.

Wengine wanasema utajiri haswa ni pale alipopewa uwaziri wa nchi katika ofisi ya Waziri Mkuu, wakati huo mzee Malechela.
Hapo hakucheza mbali na dili za maafa ambapo alifaidika kwa dili nyingi hewa na kussupply mziwa kwenye maafa sehemu mbali mbali nchini.

Is it a story of "From Rags to Riches" kwa Lowassa?

Hatuwezi kutaja biashara nyingi na Lukuk kwa kada aliyekuwa wa CCM, ambaye leo baada ya kuwaiba sana wananchi , sasa kawapa kisogo na kueleza ya moyoni kuwa anauchukia sana umasikini, kiasi cha kukuibia ili atajirike.

Its a matter of imagination tu, kama akipewa nchi, ni lazima ataiba tena sana na kuwa kama Marcos wa Phillipines au Mobutu SeSe Seko wa Zaire.

Ni wai Urais kwa Lowassa utakuwa a perfect cover kulinda na kujiongezea mali.
Leo nani mwenye ubavu wa kumtia hatiani Rais akiiba?

Historia haidanganyi kwa hawa watu wanaopenda vyote viwili, MADARAKA na MALI NYINGI.
Wtanzania tufunguke, tusijelia kilio cha mjukuu.

Mkuu wakati huo akifanyakazi na Malechela jamaa (Lowasa) alikuwa anaagiza magari ya serikali kwa bei mara mbili kwa ile ya kawaida. Alipiga pesa ndefu sana ndo maana mpaka leo hawapatani na Malechela. Pia nusura aifilisi AICC wakati akiwa mkurugenzi mkuu pale.
 
masopakyindi majibu ya wanyi wenzako umeyaona tangazeni ufalme wenu lakini wananchi wako naye
 
Back
Top Bottom