VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Eti, baada ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mwenza wako,kinachomrudisha tena mwanamke huyo kufanya mapenzi kwa mara nyingine na kuendelea ni nini hasa?
1. Kunogewa?
2. Kuendelea kupata mahitaji yake ya kimaisha kupitia pesa?
3. Kupenda kukuona na kuongea?
4. Basi tu?
Karibuni tujadili...
Mkuu kila anayemrudia mpezi wake wa awali (mke/Mme) anasababu yake wala hazilingani. Upendo, mapenzi, fedha, uchu wa kuonekana anatoka na flani, kiburi cha kutaka kujionesha naye yupo kwenye chati nk No fixed reason.
Si mchezo...Jibu halipo hapo,kwanza jiulize wewe ni kwanini na wewe unarudia?
"
Sijui kama utajiuliza kwa usahihi!
Lakini Mkuu,nilimaanisha hasa wapenzi wa kawaida....si walioana na kuachana/kutengana halafu wakarudiana...
Bila shaka kinachokurisha wewe ndicho kinachomrudisha yeye.Eti, baada ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mwenza wako,kinachomrudisha tena mwanamke huyo kufanya mapenzi kwa mara nyingine na kuendelea ni nini hasa?
1. Kunogewa?
2. Kuendelea kupata mahitaji yake ya kimaisha kupitia pesa?
3. Kupenda kukuona na kuongea?
4. Basi tu?
Karibuni tujadili...
Zina nini? Ufuna kujowa kyani?mh! thread zingine bana!
wewe hawa wanawaje wenyewe wanapenda dushelele sema maringo tuu mwanzoni wakati wamtongoza....ukishamvua chupi hana ujanja tena.
Shida za dunia, baridi kali kipindi cha usiku, kumiss malovee ya mwenzake, uchu wa kukaa muda mrefu bila kumuona umpendae, kumpima kama mwenzake atachukuliaje pindi atakaporudi, kulzimishwa na wazazi wake n.k