Kinachomrudisha MWANAMKE ni hiki au hiki?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Eti, baada ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mwenza wako,kinachomrudisha tena mwanamke huyo kufanya mapenzi kwa mara nyingine na kuendelea ni nini hasa?
1. Kunogewa?
2. Kuendelea kupata mahitaji yake ya kimaisha kupitia pesa?
3. Kupenda kukuona na kuongea?
4. Basi tu?

Karibuni tujadili...
 
Mkuu kila anayemrudia mpezi wake wa awali (mke/Mme) anasababu yake wala hazilingani. Upendo, mapenzi, fedha, uchu wa kuonekana anatoka na flani, kiburi cha kutaka kujionesha naye yupo kwenye chati nk No fixed reason.
 
Lakini Mkuu,nilimaanisha hasa wapenzi wa kawaida....si walioana na kuachana/kutengana halafu wakarudiana...
 
Jibu halipo hapo,kwanza jiulize wewe ni kwanini na wewe unarudia?
"
Sijui kama utajiuliza kwa usahihi!
 
dawa za kienyeji kama; genda ogaluke, ulisubhara
 
Lakini Mkuu,nilimaanisha hasa wapenzi wa kawaida....si walioana na kuachana/kutengana halafu wakarudiana...

mkuu namaana hiyo hiyo, Ukiuliza kwanini mtu anapenda dawa ya mswaki ya aina flani, mwingine atakwambia harufu nzuri, mwingine ni tamu mdomoni nk.

Nakurudia mpenzi kwa maana ya ku-repeat kale katendo, sababu inaweza kuwa sio hasa kale katendo bali kudumisha uhusiano walau ukitoka na binti wa watu waseme jamaa anachukuwa mtoto wa waziri lakini pale kitandani ovyo kabisa.

No fixed reason .
 
Shida za dunia, baridi kali kipindi cha usiku, kumiss malovee ya mwenzake, uchu wa kukaa muda mrefu bila kumuona umpendae, kumpima kama mwenzake atachukuliaje pindi atakaporudi, kulzimishwa na wazazi wake n.k
 
Eti, baada ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mwenza wako,kinachomrudisha tena mwanamke huyo kufanya mapenzi kwa mara nyingine na kuendelea ni nini hasa?
1. Kunogewa?
2. Kuendelea kupata mahitaji yake ya kimaisha kupitia pesa?
3. Kupenda kukuona na kuongea?
4. Basi tu?

Karibuni tujadili...
Bila shaka kinachokurisha wewe ndicho kinachomrudisha yeye.
 
Kinachomrudisha............
Asali aliyoionja kwangu.
 
Ni vema akirudi umuulize,kwa nini amerudi.
::
Maana si kila kipitacho ktk moyo wa mmoja kikawa sahihi kwa wote.
=
 
wewe hawa wanawaje wenyewe wanapenda dushelele sema maringo tuu mwanzoni wakati wamtongoza....ukishamvua chupi hana ujanja tena.
 
Shida za dunia, baridi kali kipindi cha usiku, kumiss malovee ya mwenzake, uchu wa kukaa muda mrefu bila kumuona umpendae, kumpima kama mwenzake atachukuliaje pindi atakaporudi, kulzimishwa na wazazi wake n.k

SAUDARI na style za kiada na ziada
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom