Kinachofanyika Zanzibar ni uhuni na ubinafsi

Kinachofanyika Zanzibar ni uhuni na ubinafsi

Palestine never had a President, in contrast, Zanzibar is a revolutionary sovereign state.

Wapi kwenye post nimesema Palestina is country? God willing Palestina will be a country in near future (two state solution ndio suluhisho). Pamoja na hilo hawa wenzetu wanachagua viongozi wao bila mizengwe hadaa na dhulma mchana kweupe tunazoshuhudia Zanzibar.
 
ushnz mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa rais ni maalim na shani aende zake kwa aibu, ndo atakuwa rais wa kwanza kushindwa akiwa madaran ama rais wa kwanza kuitumbukiza zenj kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe: kazi kwenu mnaoshabikia kufutwa kwa matokeo kitakachotokea ndo mtakuja jua jecha ni m-,,,b;;;;w,,,a,,,
. Lakin yote tuzidi kumuomba Mungu ili tuvuke salama katika hili pia wale wanaosimamia maswala haya watende haki kwa kufuata misingi ya sheria na katiba ikiwemo na haki za binadamu na uhuru wa kuchagua na kuchagulia
 
A fool will always say, Palestine is a Country, while using Shekel of Israel.

Anhaa!!kumbe wewe ni zao la kiyahudi?hata ashuke nabii hatoweza kukupeleka kwenye uzima wa milele kwa maana unamhuri wa laana.
 
Nashangaa wanaopinga ukweli wa mambo zanzibar CCM haijaanza kushindwa leo tokea 1995, Ingekuwa maalim kajitangazia urais basi ingekuwa kishaapishwa alichokifanya ni kutoa takwimu za kura, Ewe Mungu wasaidie wasiojua.
 
wanajidanganya tu kama ni vita vitapiganiwa Dar es salaam wao wacha walete jeshi wanjisumbuwa tu
 
Back
Top Bottom