Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Kusema ukweli CCM imeshindwa kwa mtokeo yote ya awali yaliowahi kutangazwa huko Zanzibar
Kilichofanyika ni mapinduzi kitu ambacho hakikubaliki katika ulimwengu wa leo na wahusika wa mapinduzi hayo ni wana CCM wachache sana, hawataki ijulikane kama wamefanya Mapinduzi.
Wanachotegemea ni kutumia mkondo wa siasa kujihalalisha, hadi sasa hakuna anaewaunga mkono zaidi ya Chama chao na wahafidhina wachache walio ndani ya vyombo vya dola.
Ndio tukasikia kuna mmoja alitekwa kwa kutumia vyombo hivyo wakati akiendelea kutangaza matokeo yanayoelkea kuipa ushindi CUF.
Watu hao wanategemea sana Magufuli awaunge mkono ingawa hadi sasa Magufuli amekaa kimya akiupima upepo kama ataweza kuwasaidia wanamapinduzi hao kwa kutumia cheo chake cha Uraisi na pia kutumia karata ya kichama/as mwenyekiti.
Huu ni uhuni na mwaka huu kitanuka kikanukia.