Kinachofanyika Zanzibar ni uhuni na ubinafsi

Kilicho tokea ni Maalim kujitangaza kuwa yeye ni Rais, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni Maalim kusema kashinda, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni ZEC kumnyamazisha huyo maalim anaye taka kuleta machafuko kwa kutanganza uongo.

Nimeelewa tatizo liko wapi, ingefaa ukanyamaza. Tuanzie hapa, naomba uniorodheshee visingizio alivyotoa mwenyekiti wa ZEC kufuta matokeo ya Zanzibar. Huenda hiyo itakupa kufikiria kidogo.
 
Kilicho tokea ni Maalim kujitangaza kuwa yeye ni Rais, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni Maalim kusema kashinda, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni ZEC kumnyamazisha huyo maalim anaye taka kuleta machafuko kwa kutanganza uongo.

Kosa la Maalim Seif lina adhabu yake. lakini kosa la Jecha na ZEC hata halitafsriki kikatiba ni uhaini kwa kifupi
 
Maalim si mjinga, kujitangaza ni kosa la jinai na ndio ukaona hakuna aliethubutu kuisogelea mahakama Sefu alijua anachokifanya Tangazo rasmi ni kutoka tume mbali ya natangazo mengine anbayo yakibandikwa kwenye vituo ambayo Seifu alipelekewa na mawakala ,kinachosubiriwa ni tangazo rasmi ofishol na SI kutuambia kuwa Sefu aneshinda kwani tayari mitaani wameshajua kutokana na matangazo ya awali yabandikwayo kwenye vituo.

So far Maalim hana kosa ni uhuni wa CCM tu

Kama utaweza kujibu ni kituo gani kilijaza fomu ya malalamiko kama kanuni zinavyotaka iwapo kutatokea kitu kwenye kituo Jecha amezuka na uzushi asio na ushahidi nao ambao ni fomu za malalamiko
 
A fool will always say, Palestine is a Country, while using Shekel of Israel.
Teh haa hhaa Unajianika weye! You blow your C. Niaje? Uko poa Mr. Chin? Ding dong.
Nicheke mie khe kkhe eeeeeeee.
 
Maalim si mjinga, kujitangaza ni kosa la jinai na ndio ukaona hakuna aliethubutu kuisogelea mahakama Sefu alijua anachokifanya Tangazo rasmi ni kutoka tume mbali ya natangazo mengine anbayo yakibandikwa kwenye vituo ambayo Seifu alipelekewa na mawakala ,kinachosubiriwa ni tangazo rasmi ofishol na SI kutuambia kuwa Sefu aneshinda kwani tayari mitaani wameshajua kutokana na matangazo ya awali yabandikwayo kwenye vituo.

So far Maalim hana kosa ni uhuni wa CCM tu

Kama utaweza kujibu ni kituo gani kilijaza fomu ya malalamiko kama kanuni zinavyotaka iwapo kutatokea kitu kwenye kituo Jecha amezuka na uzushi asio na ushahidi nao ambao ni fomu za malalamiko

Kama si mjinga, baada ya kujitanganza alipata nini zaidi ya kuonyeshwa kuwa ZEC ni zaidi ya ufedhuli alio usema? I mean, what do you need for you to comprehend that sheria haipingwi kwa maneno matupu?

Nani ni Rais wa Zanzibar hii leo? Nani anaiongoza Zenji? Nani anajiita Makamu wa Rais kama si huyo lofa ambaye alijitangaza kuwa ni Rais akifikia kuwa Western world watamsaidia? He is just a fool.
 
Kosa la Maalim Seif lina adhabu yake. lakini kosa la Jecha na ZEC hata halitafsriki kikatiba ni uhaini kwa kifupi

Tokea lini Nyumbu akafahamu Sheria zaidi ya kuliwa tu. Tena hata Mbweha wanakula Nyumbu.

Huo ni msemo tu, wakukufungua macho kuwa, alicho fanya kimemweka kando. Uchaguzi unarudiwa, na hana ubavu wa kubisha wala nini zaidi ya kusaliti amri.
 
Zanzibar wana shilingi yao?

Sasa umesha saliti amri baada ya kugundua kuwa Palestine hawana hata jeshi, wala fedha yao, wala Utaifa. Huwezi kulinganisha Zanzibar na Palestina ambao ni walowezi wa nchi ya watu.
 
Kurudia uchaguzi ni DOMOkrasi au uhuni wa Chamadola?

Wanasema nini? Kisiwa cha amani.

Lakini kisiwa cha mani kinahitaji magari 777.
 
Kusema ukweli CCM imeshindwa kwa mtokeo yote ya awali yaliowahi kutangazwa huko Zanzibar

Kilichofanyika ni mapinduzi kitu ambacho hakikubaliki katika ulimwengu wa leo na wahusika wa mapinduzi hayo ni wana CCM wachache sana, hawataki ijulikane kama wamefanya Mapinduzi.

Wanachotegemea ni kutumia mkondo wa siasa kujihalalisha, hadi sasa hakuna anaewaunga mkono zaidi ya Chama chao na wahafidhina wachache walio ndani ya vyombo vya dola.

Ndio tukasikia kuna mmoja alitekwa kwa kutumia vyombo hivyo wakati akiendelea kutangaza matokeo yanayoelkea kuipa ushindi CUF.

Watu hao wanategemea sana Magufuli awaunge mkono ingawa hadi sasa Magufuli amekaa kimya akiupima upepo kama ataweza kuwasaidia wanamapinduzi hao kwa kutumia cheo chake cha Uraisi na pia kutumia karata ya kichama/as mwenyekiti.

Huu ni uhuni na mwaka huu kitanuka kikanukia.

huu ndio ukweli na wazanzibari kwa umoja wetu sote tunaelewa hali halisi hii lakini tunaendelea kucheza games zao za siasa lakini hapa hakuna siasa ni kutawaliwa kwa mabavu tu,kila miaka mitano haya yanatokea na kila jambo linalohusu kuipa zanzibar mamlaka ya kinchi linapinduliwa hapo hapo,tutazame kilichotokea kwenye bunge la katiba, kama ile katiba ilihusu tanganyika peke yake tusingeona uvunjifu wa sheria na ubadhilifu kama ulotokea pale na kikubwa kilichotakiwa ni kusiwe na serikali tatu,pakiwa na serikali tatu zanzibar itakuwa inajitegemea na kwa hilo iliwalazimu kutupilia mbali katiba ya warioba na katika uchaguzi huu kama maalim hakuweka wazi matokeo yake basi raisi wa ccm angekwisha tangazwa na kuapishwa zamani sana na cuf wangebakia kulalama mitaani
 
Kurudia uchaguzi ni DOMOkrasi au uhuni wa Chamadola?

Wanasema nini? Kisiwa cha amani.

Lakini kisiwa cha mani kinahitaji magari 777.

Unafahamu maana ya Demokrasia au unafikiri kujitangaza kama mwehu ndio demokrasia? Mwambie huyo jamaa, KWANINI BADO anatumia nyumba ya Serikali na Magari ya Serikali? Kama yeye madai yake ni kweli, Mwambieni aacha mara moja kujifanya Makamu wa Rais.
 
Kilicho tokea ni Maalim kujitangaza kuwa yeye ni Rais, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni Maalim kusema kashinda, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni ZEC kumnyamazisha huyo maalim anaye taka kuleta machafuko kwa kutanganza uongo.

Unajua unapobisha kitu kilichosemwa wazi na kila mtu amesekia kisha ukakisema tofauti inashangaza sana.
Hivi ni kweli Maalim alijitangaza kuwa yeye ni rais? Ulibahatika kuisikia kauli ya ke au umesadiki maneno ya watu tu?

Yeye alikusanya matokeo kutoka vituoni (Yalibandikwa kila kituo na hakuvunja sheria) akaweka wazi kura zake na za mgombea wa chama tawala, na mujibu wa zile kura akaitaka tume imtangaze kwa sababu alikua na ushahidi wa alichokisema. Sasa unapokuja kusema Maalim kajitangaza kua yeye ndio rais inaleta shida kutambua lengo lako hasa ni lipi?

Nimekuomba uelezee mtiririko uliochukuliwa na mwenyekiti wa ZEC hadi kufikia kufuta matokeo ya uchaguzi, umekuja na hii hoja ya Maalim kujitangaza rais, nikaomba basi orodhesha visingizio vilivyotolewa na ZEC, haujaviweka bado.
 
Palestine never had a President, in contrast, Zanzibar is a revolutionary sovereign state.

A fool will always say, Palestine is a Country, while using Shekel of Israel.

Zanzibar wana shilingi yao?

Sasa umesha saliti amri baada ya kugundua kuwa Palestine hawana hata jeshi, wala fedha yao, wala Utaifa. Huwezi kulinganisha Zanzibar na Palestina ambao ni walowezi wa nchi ya watu.

Wewe huyo huyo umekuja na hoja ya kua na fedha kama kilinganishi cha Zanzibar na Palestina, Ok ni nani kaleta ulinganifu wa Zanzibar na Palestina kuwa na fedha?
 
Unafahamu maana ya Demokrasia au unafikiri kujitangaza kama mwehu ndio demokrasia? Mwambie huyo jamaa, KWANINI BADO anatumia nyumba ya Serikali na Magari ya Serikali? Kama yeye madai yake ni kweli, Mwambieni aacha mara moja kujifanya Makamu wa Rais.

Maalim hajajitangaza rais ndio maana yuko mtaani akisubiria haki yake. Kama tuhuma zako ni za kweli si angekua kwenye mikono ya sheria? Waliomtangaza na kumpa madaraka ya kuwa makamu wa rais wakisema aviache hivyo vitu ataviacha kwa mujibu wa sheria. Lini limetoka tangazo la kuwajulisha wananchi kwamba Maalim sio makamu wa rais?
 
huu ndio ukweli na wazanzibari kwa umoja wetu sote tunaelewa hali halisi hii lakini tunaendelea kucheza games zao za siasa lakini hapa hakuna siasa ni kutawaliwa kwa mabavu tu,kila miaka mitano haya yanatokea na kila jambo linalohusu kuipa zanzibar mamlaka ya kinchi linapinduliwa hapo hapo,tutazame kilichotokea kwenye bunge la katiba, kama ile katiba ilihusu tanganyika peke yake tusingeona uvunjifu wa sheria na ubadhilifu kama ulotokea pale na kikubwa kilichotakiwa ni kusiwe na serikali tatu,pakiwa na serikali tatu zanzibar itakuwa inajitegemea na kwa hilo iliwalazimu kutupilia mbali katiba ya warioba na katika uchaguzi huu kama maalim hakuweka wazi matokeo yake basi raisi wa ccm angekwisha tangazwa na kuapishwa zamani sana na cuf wangebakia kulalama mitaani

Mbaya zaidi, wameendelea na shughuli zao kana kwamba hakuna tatizo na kila kitu kipo shwari, hili jambo huenda likatafsiriwa kama kuipuuza Zanzibar kwenye muungano licha ya ngonjera za kuulinda huo muungano.
 
Kilicho tokea ni Maalim kujitangaza kuwa yeye ni Rais, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni Maalim kusema kashinda, hilo ni kosa. Kilicho tokea ni ZEC kumnyamazisha huyo maalim anaye taka kuleta machafuko kwa kutanganza uongo.

wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri au labda ushabiki umezidi,unatakiwa kufahamu kilochopangwa kutokea,kilichotokea na kilichopo sasa hivi

kilichopangwa kutokea ni kuwa mwenyekiti wa tume amtangaze uraisi mshindi wa ccm kwa hali yeyote ile na huku majukwaa ya ccm yakisema hawatoi na ushindi ni lazima na kujifanya kama ni maneno ya kisiasa tu,wakati huo huo maalim alikwisha elezea umati wa wazanzibari kuwa atausubiri ushindi wa wananchi ofisini kwake mtendeni, siku maalim alipokuja kuyaweka wazi matokeo halisi ya uchaguzi kwa wananchi kuyasikia kauli hii ilimchanganya sana mwenyekiti wa tume na kurudi huko alikoamrishwa amtangaze mshindi,huko ndio wamekubaliana akimtangaza mshindi wa ccm nchi imekwisha ndio wakaamua kufuta uchaguzi kwa nguvu. na kinachoendelea sasa hivi ni mbinu za kawaida za ccm kupeleka wakati ili kulainisha wananchi wenye hamasa na hasira
 
Unafahamu maana ya Demokrasia au unafikiri kujitangaza kama mwehu ndio demokrasia? Mwambie huyo jamaa, KWANINI BADO anatumia nyumba ya Serikali na Magari ya Serikali? Kama yeye madai yake ni kweli, Mwambieni aacha mara moja kujifanya Makamu wa Rais.

Kwa sasa Zanzibar hata wewe kama unataka uraisi unaweza kujitangaza tu ,Zanzibar ilipo haina kiongozi. Alie jitia na kujivixha uwehu ni yule aliefuta Uchaguzi mkuu jambo ambalo linahatarisha hata Uraisi wa Magufuli,kama huelewp yaulize
 
Unafahamu maana ya Demokrasia au unafikiri kujitangaza kama mwehu ndio demokrasia? Mwambie huyo jamaa, KWANINI BADO anatumia nyumba ya Serikali na Magari ya Serikali? Kama yeye madai yake ni kweli, Mwambieni aacha mara moja kujifanya Makamu wa Rais.
Uliko unapofanyika uchaguzi vyombo vya habari vinaleta matokeo na kufanya projection ya mshindi.
Hapa Tz, domokrasi inasema ni tume pekee ndio inaruhusa ya kumtangaza mgombea wa CCM kuwa ameshinda. Hii ndio DOMOkrasi tunayoiongelea hapa.
Umwehu ni ule Jecha amefanya kuwa shinikizo la ving'ang'anizi. Ahh, Wang'atuke bana.
 
Back
Top Bottom