kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,424
- 3,396
Nahisi ni mishahara mibovu tunayolipana. Mfano, we house girl wako kwa mshahahara huo unaomlipa atakuja kujenga lini? Unachomtendea mwenzako na we unatendewa hichohicho.
Hakuna mtu humu anaemlipa house girl laki laki na nusu, mshahara mdogo masharti kibao. Mara usiangalie TV, mara usinywe juice.
Upuuzi mtu unamlipa kimshahara hiko, saving atafanya na nini sasa? Watoto wake atawezaje kuwasomesha? Ataenjoy maisha na nini? Kodi je? Wazazi wake?
Mi siongelei corona tena, tunazidi kutiana hofu, ila jilindeni.
Sent using Jamii Forums mobile app