Kinachofanya Wabongo tushindwe kujenga

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,420
3,391
Nahisi ni mishahara mibovu tunayolipana. Mfano, we house girl wako kwa mshahahara huo unaomlipa atakuja kujenga lini? Unachomtendea mwenzako na we unatendewa hichohicho.

Hakuna mtu humu anaemlipa house girl laki laki na nusu, mshahara mdogo masharti kibao. Mara usiangalie TV, mara usinywe juice.

Upuuzi mtu unamlipa kimshahara hiko, saving atafanya na nini sasa? Watoto wake atawezaje kuwasomesha? Ataenjoy maisha na nini? Kodi je? Wazazi wake?

Mi siongelei corona tena, tunazidi kutiana hofu, ila jilindeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaolipiwa 70,000 wana bahati. Kuna wengine wanakubaliana mshahara 50,000. Katika hizo mama anakuambia amekufungulia account benk ya posta anakuwekea 30,000 atakupa 20,000 mkononi. Katika hizo 20,000 binti kijijini kwao wanasubiri anawarushia 15,000 yeye anabaki na 5,000 ya taulo na kusuka twende kilioni.

Baada ya miaka miwili unamfukuza kazi na pesa yake uliyodai unamuwekea humlipi. Alafu unalalamika mikosi inakuandama.
 
Binadamu ni wabinafsi sana huwa hawawafikirii wengñe,kuna kijana tumemwajiri ktk machine za nafaka,tunamlipa 50,000 na pumba inayopatikana anachukua,lakin kuna watu wanaona tunampa zaidi et pesa tu zingemtosha
 
Hao wanaolipiwa 70,000 wana bahati. Kuna wengine wanakubaliana mshahara 50,000. Katika hizo mama anakuambia amekufungulia account benk ya posta anakuwekea 30,000 atakupa 20,000 mkononi. Katika hizo 20,000 binti kijijini kwao wanasubiri anawarushia 15,000 yeye anabaki na 5,000 ya taulo na kusuka twende kilioni.

Baada ya miaka miwili unamfukuza kazi na pesa yake uliyodai unamuwekea humlipi. Alafu unalalamika mikosi inakuandama.
Mijitu ina roho mbaya sana.
 
Dada wa Kazi ni sehemu ya Familia.

Haitakiwi kabisa kumbagua, wala kumnyanyapaa.

Wengi hawaelewi hilo
 
Hao wanaolipiwa 70,000 wana bahati. Kuna wengine wanakubaliana mshahara 50,000. Katika hizo mama anakuambia amekufungulia account benk ya posta anakuwekea 30,000 atakupa 20,000 mkononi. Katika hizo 20,000 binti kijijini kwao wanasubiri anawarushia 15,000 yeye anabaki na 5,000 ya taulo na kusuka twende kilioni.

Baada ya miaka miwili unamfukuza kazi na pesa yake uliyodai unamuwekea humlipi. Alafu unalalamika mikosi inakuandama.
....Luna zile za kumuambia house girl " hebu niazime alfu 20 yako nitakurejeshea baadaye", halafu ndio inakuwa imetoka hiyo....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukifanya assessment ya huduma unazompa house girl, utajakuta unalipa zaidi ya hicho unachokisemea.
Lets say
Kula 4000x30 days = 120,000
Kulala(kodi) =40,000
Maji na umeme =5000
Huduma ya afya =15,000
Mshahara. = 50,000
Totali =230,000

Na bado kuna huduma nyingine tuu sijazitaja..

Sasa mlipe hio 150,000 kwa mwezi alafu aishi na kula anakokujua yeye tuone kama atakubali..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaolipiwa 70,000 wana bahati. Kuna wengine wanakubaliana mshahara 50,000. Katika hizo mama anakuambia amekufungulia account benk ya posta anakuwekea 30,000 atakupa 20,000 mkononi. Katika hizo 20,000 binti kijijini kwao wanasubiri anawarushia 15,000 yeye anabaki na 5,000 ya taulo na kusuka twende kilioni.

Baada ya miaka miwili unamfukuza kazi na pesa yake uliyodai unamuwekea humlipi. Alafu unalalamika mikosi inakuandama.
Mimi huwa nawashangaa sana watanzania wanapowalalamikia wahindi kuwanyanyasa makazini wakati na wao wanawanyanyasa mahousegirl wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi ni mishahara mibovu tunayolipana. Mfano, we house girl wako kwa mshahahara huo unaomlipa atakuja kujenga lini? Unachomtendea mwenzako na we unatendewa hichohicho.

Hakuna mtu humu anaemlipa house girl laki laki na nusu, mshahara mdogo masharti kibao. Mara usiangalie TV, mara usinywe juice.

Upuuzi mtu unamlipa kimshahara hiko, saving atafanya na nini sasa? Watoto wake atawezaje kuwasomesha? Ataenjoy maisha na nini? Kodi je? Wazazi wake?

Mi siongelei corona tena, tunazidi kutiana hofu, ila jilindeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kwa uzoefu wangu, kujenga nyumba za kuishi ni jukumu la Serikali kwa sababu kunahitajika fedha nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wangu anajenga Kijijini kwao.... tho naamini anajenga nyumba ya standard ya Kijijini!
 
Kujenga ni dhamira ngumu kuliko kuacha kuvuta sigara
Nani asiyependa kujinga?kuota mindoto mikubwa Na hula hela ni ujinga,we unataka uniambie MTU anaelimake 70000 kwa mwezi awe Na dhamila ya kununua meli? Jamani kama siyo upuuzi huu ni nini,kujenga hatua ya kwanza uwe Na hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom