MTEMI WA KIJANI
Member
- Mar 5, 2016
- 39
- 62
Umesahau marudio ya uchaguzi ZanzibarPesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kutoa ajira mpya serikali ndio ambazo zimetumiwa kununua ndege mbili aina ya Bombardier na ndege zingine zimekwisha kuagizwa. Aidha pesa zingine zimeelekezwa katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa kule Chato. Tanzania ya Viwanda inakuja!!!.
fiction storyPesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kutoa ajira mpya serikali ndio ambazo zimetumiwa kununua ndege mbili aina ya Bombardier na ndege zingine zimekwisha kuagizwa. Aidha pesa zingine zimeelekezwa katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa kule Chato. Tanzania ya Viwanda inakuja!!!.
Halambi yako tu wengine watampa2020 zamu yake! hata akipiga pushap aongeze na gym kabisa harambi kitu