Kinachofanya ajira mpya za serikali zisitolewe ni hiki

Pesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kutoa ajira mpya serikali ndio ambazo zimetumiwa kununua ndege mbili aina ya Bombardier na ndege zingine zimekwisha kuagizwa. Aidha pesa zingine zimeelekezwa katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa kule Chato. Tanzania ya Viwanda inakuja!!!.
Umesahau marudio ya uchaguzi Zanzibar
 
2020 zamu yake! hata akipiga pushap aongeze na gym kabisa harambi kitu
 
Pesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kutoa ajira mpya serikali ndio ambazo zimetumiwa kununua ndege mbili aina ya Bombardier na ndege zingine zimekwisha kuagizwa. Aidha pesa zingine zimeelekezwa katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa kule Chato. Tanzania ya Viwanda inakuja!!!.
fiction story
 
What if serikali haitoajiri? Mnaweza kweli ku survive kwenye private sector nyie?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom