MTEMI WA KIJANI
Member
- Mar 5, 2016
- 39
- 62
Pesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kutoa ajira mpya serikali ndio ambazo zimetumiwa kununua ndege mbili aina ya Bombardier na ndege zingine zimekwisha kuagizwa. Aidha pesa zingine zimeelekezwa katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa kule Chato. Tanzania ya Viwanda inakuja!!!.