DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

FlyingDutchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
459
Reaction score
860
Wasalaam ndg zangu

Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri

Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi TIA zimekithiri sana na NACTVET ipo kimya.

For instance kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo)

Don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho, at her viscinity.

Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokuwa kwenye mtihani siku hiyo and wanarely on hand writing kwa kuangalia kwa macho kuprove kuwa it belongs to her. No biometric system yoyote imetumika kuprove kuwa ni chake.

Just imagine hawa ndio wasomi tulionao.

Kwenye vikao viwili lecturers wamemuhukumu kwa kitu hajafanya even though ameomba ushahidi wa camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen her at all.

Mbaya zaidi kuna voice note za malecturers and some university student leaders admitting kuwa wanachomfanyia huyu mtoto wa kike sio sawa, kisa wachache washapiga pesa imekuwa ngumu kwa wao ku-undo their wrong decision.

Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama hizi zimekithiri

My take principle wa TIA it's time you take this matter on hand na ufatilie kwa ukaribu jambo hili, unless umeapprove kinachoendelea .
 
1. TIA ipo chini ya NACTVET sasa hapo TCU inaingiaje?
2. Kuandika hujui ila unajua kuhukumu bila vithibitisho vinavyohusu malalamiko yako.
3.Ungejua hakuna mwanafunzi amewahi kufanikiwa kwenye kesi za aina hio usingeleta mada hii Jamiiforums.
 
Wasalaam ndg zangu

Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri,

Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zmetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fish, kesi kama izi TIA zmekisiri Sasa na TCU ipo kimya,

For instance Kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande Cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo) don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho , at her viscinity.
Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokua kwenye mtihani siku hiyo, and wanarelie on hand writing kwa kuangalia kwa macho , no biometric system yoyote imetumika kuprove kua ni chake, kwenye vikao viwili bunch of coward lectures wamemuhukumu kwa kitu ajafanya even though ameomba ushahidi was camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen at her at all.

Mbaya zaidi Kuna voice note za malecturers admitting kua wanachomfanyia huyu mtt was kike sio SAWA, kisa wachache washapiga pesa imekua ngumu kwa wait ku undo their wrong decision.

Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea.
1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2 Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa vinuka mkojo wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu msije mkaeneza uzenge hapo TIA.

ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
 
1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.

ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Ni kweli kabisa Hawa wanaomba pesa hovyo hovyo nazani ,TAKUKURU waingilie kati pia hiki chuo kesi kama za namna hii zimekisiri ni mambo ya ajabu sana yanaendelea TIA
 
Wasomi wa siku hizi shida sana.

Unaandika io au izo na huoni kabisa kama kuna shida!

Hata hivyo bado sio rahisi kwa lectures wote waungane kumfukuza mwanafunzi kwa kesi ya uongo. Tumesikia upande wako nina hakika kuna la kusikia kutoka kwa lectures pia.
 
Wasalaam ndg zangu

Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri,

Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zmetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fish, kesi kama izi TIA zmekisiri Sasa na NACTVET ipo kimya,

For instance Kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande Cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo) don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho , at her viscinity.
Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokua kwenye mtihani siku hiyo, and wanarelie on hand writing kwa kuangalia kwa macho kuprove kua it belongs to her, no biometric system yoyote imetumika kuprove kua ni chake just imagine Hawa ndio wasomi tulionao, kwenye vikao viwili bunch of coward lectures wame muhukumu kwa kitu ajafanya even though ameomba ushahidi wa camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen her at all.

Mbaya zaidi Kuna voice note za malecturers and some university student leaders admitting kua wanachomfanyia huyu mtt wa kike sio SAWA, kisa wachache washapiga pesa imekua ngumu kwa wao ku undo their wrong decision.

Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea.

ACHA KUWA UNADESA. ZIMEKISIRI? NDO NINI? HICHO CHUO KINABEBA VILAZA SANA.

"Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea"

Hapo umeandika madudu gani? Kilaza mkubwa wewe.
 
Kilichopo kwenye karatasi kuwa hakifanani na kilichoulizwa kwenye mtihani siyo kigezo kinachomtoa hatiani je kama alifanya attempt ? Instruction ziko wazi jaribio lolote la udanganyifu litaambatana na adhabu .

Au madai yako ni kuwa wasimamizi ndiyo walimtegea karatasi?
 
ACHA KUWA UNADESA. ZIMEKISIRI? NDO NINI? HICHO CHUO KINABEBA VILAZA SANA.

"Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea"

Hapo umeandika madudu gani? Kilaza mkubwa wewe.
Nikajua ni mimi peke yangu nimeona 🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom