hypothalamus
Senior Member
- Feb 19, 2018
- 126
- 153
Umepotea wwMungu hayupo.
Kama yupo haingilii maisha ya kila siku ya watu. Kwamba baada ya kuumba kanuni za kuongoza Ulimwengu, alijitenga na kuacha Dunia ijiendeshe yenyewe.
Haya mambo mengine ni kupeana moyo tu.
Nafkiri haihitaji akili nyingi kujuwa kwamba mungu yupo nayeye ni muweza wa kila kitu..Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu
Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?
Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya
SijakuelewaMungu nasema acha magugu na mimeo vikue pamoja ila siku ya mavuno......
Basi hata kujibu hayo maswali haito hitaji akili kubwaNafkiri haihitaji akili nyingi kujuwa kwamba mungu yupo nayeye ni muweza wa kila kitu..
Kwa hiyo kinachoendelea ni Mpango wa Mungu?na washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu?Kwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya
Nani kasema washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu ??.Kwa hiyo kinachoendelea ni Mpango wa Mungu?na washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu?
Swali langu ni je Mungu amependa hayo yatokee?kama hakupenda kwa nini hakiyazuia kabla hayajatokea?Nani kasema washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu ??.
Unajua maana ya ufunuo ??. Sasa ufunuo ni maono yamambo yatakayokua yanatokea either nimazur au mabaya.
Kasome kitabu cha Isaya ..utajua kwann syria ,iran,misri ,tunisia,libya, n.k kwann zimekua ivi zilivyo ?.
Mimi sio theologian ila naamin wakati mwingine mambo haya yanatokea sawa sawa na maandiko kwasababu Mungu anataka watu wamjue.. Ukiingia ndani sanaaaaaaaaaaa utagundua mambo haya yanatokea ili kuhakikisha UKRISTO unaingia ktk nchi za Kiarabu.
Ukifatilia sanaaaaaa utagundua Mzozo wa mashariki ya kati SIO kitu bali ni mzozo wa DINI TU.
Mungu kayaruhusu yatokee ndio.Swali langu ni je Mungu amependa hayo yatokee?kama hakupenda kwa nini hakiyazuia kabla hayajatokea?
At times huwa nawaza kuhusu vitabu vya dini na uhalisia wa 'upendo wa Mungu juu ya wanadamu'.Kwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya
Kwahyo kumbe Mungu na shetani ni marafiki wanakaa na kujadili mambo flan flan? Na mbona wanatuambia shetani kafungwa miaka 1000 na Yesu huo mda wa kupiga story na Mungu anaupata wapi?Mungu kayaruhusu yatokee ndio.
Ujue hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu ayubu ?au nahiyo huijui? Umesahau ayubu wanawe saba wakafa ,punda ,ng'ombe wake wakafa, utajir wake ukaisha ,ayubu akapigwa na majibu namadonda na ukurutu na mapele ya kuwasha .
Mungu sindo alimruhusu???. Sasa km aliyaruhusu kwa Ayubu sembuse Ilo ?.
Ndio kaacha litokee hilo kwasababu kuna jambo analohitaji liwe .......
Umesahau Mtime Paulo kbla yakua mtume alikua ni muuaji wa watu akijiita SAULI ?? Lkn mbn baadae Mungu akamchagua kua mtume ??.
Basi niivi Mungu anayaruhusu mambo au watu wawe km vile wanavyoonekana ila kwa lengo jingine.
Kwanza niseme shetan hajafungwa miaka 1000...shetani yupo bado amepewa mamlaka ya kuharibu.Kwahyo kumbe Mungu na shetani ni marafiki wanakaa na kujadili mambo flan flan? Na mbona wanatuambia shetani kafungwa miaka 1000 na Yesu huo mda wa kupiga story na Mungu anaupata wapi?
Kwanini vile wanakutana na shetani Mungu asifanye miujiza yake kumchinjilia mbali ama Mungu anafurahia uwepo wake na anapenda vile wanadamu tunavyoteseka? Maana mamlaka na kila kitu kipo kwa Mungu
Anasema aliujua ulimwengu ata kabla ya kuumbwa kwahiyo yote ni makusudi yake maana uwezo wa kuzuia yeye ulikuepo...na sahivi yupo ku enjoy matunda yake
Hapana haikuandikwa nawatu kwa manufaa yao.... Isipokua iliandikwa na mitume na manabiii ,ambao walikua wanaoteshwa usingizin n.k.At times huwa nawaza kuhusu vitabu vya dini na uhalisia wa 'upendo wa Mungu juu ya wanadamu'.
Ni vipi Mungu huyu wa upendo kwetu wanadamu na aliyetuumba wote, ni vipi atuambie kuwa kuna watu wataangamize, je alituumba tuangamie?
At times huwa nawaza hata hii bible kuna watu walikaa wakapanga mipango yao juu ya uelekeo wa hii dunia. Hii bible ni kama coded message tu. Nawaza tu, no offence
Physical realm,ni ya wanadamu,Mungu yupo spiritual realm,hawezi kutenda kitu kwenye physical bila sisi kutaka,au kuamua kumshirikisha,Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu
Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?
Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya
Kwani wanaoteseka Libya, Iraq, South Sudan, Congo nk ni watoto wa mbuzi?Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu
Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?
Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya
ni kweli mkuu, najaribu kuwaza tu, yawezekana kuwa mfalme hakua miongoni mwao waandishi-ndio maana akaanzisha kampeni hyo, lakini kwa kuwa kuna 'kundi la watu' wenye nguvu na hodhi ya mamlaka, ndio maana ikasurvive. Najaribu kuwaza tu. Ni vipi huyu Mungu awe muangamizaji kiasi hiki, na hata yote haya yatokeayo damascus yawe yote ameyatabiri(au kuyapanga kwa lugha nyingine).Hapana haikuandikwa nawatu kwa manufaa yao.... Isipokua iliandikwa na mitume na manabiii ,ambao walikua wanaoteshwa usingizin n.k.
Ingekua iliandikwa kwa watu kwa malengo yao ,isingekua nanguvu ..lkn pia mwaka 1840 kampen aloingoza mfalme wa ufaransa wa kuhskikisha biblia inafutiliwa mbali ,isingefanyika...lkn ilifanyika ,......nabadae ikashindikana na viwanda vyote vilivyokua vinachapisha Biblia feki ,vikalazimika kuchapisha biblia ya ukweli.
N.b mimi sio Theologian mkuuu..nasoma soma tu km wewe.