Dah na mimi nilipita nikaona hizo nguzo sasa sijui ni kitu gani kinaendelea inavyonekana wataweka mabango ya matangazo sitashangaa kama yakiwa na picha za mgombea wa CCM maana jamaa mabango yote mjini wametaifisha wao
pale tunazuioa vibaka wewe,nyie watu mfayeje mpaka muelewe aujawai kusikia vilio vya pale na vibaka au aujawai kuaribikiwa na gari maeneo yale'sasa pale tunaweka uzio 'na iyo yote ni mipango endelevu ya ccm'sema ccm oyeeeeeeee