jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
hata aibu huna?Jamaa wanafikiri Kagera inategemea watalii ndio iende kiuchumi, kagera hakuna watalii. Lakini katika GDP imesimama na wakati Kilimanjaro kuna Mlima kilimanjaro na mbuga lakini bado makusanyo ya kuishinda kagera kwa vipointi kidogo. Sasa kagera wamepatwa na tetemeko na meli ya Victoria aifanyi kazi. Wasingekuwa na mlima au mbuga wangekuwa wanashika mkia
Kilimanjaro ni mkoa mdogo pesa zinazotumwa kila mkoa zinafanana almost na mkoa wa kagera ni mkubwa tena mrefu kweli na uko mbali na DSM na bandari yaani kutoka bk hadi mtukula 3000 tu na Kampala 10000 tu wakati kwenda dar 60000 na mwanza kwa basi 20000 labda meli ndo afadhali ingawa zimestopishwa hivi huwezi kuona sababu hapo na istoshe wahaya wanakutwa kwenye wilaya tatu yaani bk vijijini, misenyi kutoa kuanzia kyaka,bunazi na mtukula ambao ni waganda kyaka,na muleba ingawa sio yote.hebu tembelea wilaya hizo huone mighorofa na majumba yaliyomo humo na hali ya maisha yaani tembelea kamachumu,rubya,kagondo, itahwa,maruku,kiziba,mugana,kanyigo nk hutaona umaskin.wilaya nyingine hazilimi ndizi bukoba, kahawa chai hata mji wa kwa wahaya,ziwa nk ila wilaya maskini sana kama biharamulo, kyerwa,karagwe,ngara na sehemu za muleba hakuna wahaya huko.hata aibu huna?
Kilimanjaro n mkia mdgo kabisa kulinganisha na kagera
pmj na udogo huo bado tumewazidi kila idara
MNA border tatu na ziwa Victoria sio mapato hayo?
klmanjaro imewazid japo n ka mkoa kadogo huon aibu?
kagera ya tatu kwa umaskini
kilmnjaro ya pili kwa maisha bora baada ya dar huon aibu?
1_unajikita kwenye uhaya zaidi kuliko kageraKilimanjaro ni mkoa mdogo pesa zinazotumwa kila mkoa zinafanana almost na mkoa wa kagera ni mkubwa tena mrefu kweli na uko mbali na DSM na bandari yaani kutoka bk hadi mtukula 3000 tu na Kampala 10000 tu wakati kwenda dar 60000 na mwanza kwa basi 20000 labda meli ndo afadhali ingawa zimestopishwa hivi huwezi kuona sababu hapo na istoshe wahaya wanakutwa kwenye wilaya tatu yaani bk vijijini, misenyi kutoa kuanzia kyaka,bunazi na mtukula ambao ni waganda kyaka,na muleba ingawa sio yote.hebu tembelea wilaya hizo huone mighorofa na majumba yaliyomo humo na hali ya maisha yaani tembelea kamachumu,rubya,kagondo, itahwa,maruku,kiziba,mugana,kanyigo nk hutaona umaskin.wilaya nyingine hazilimi ndizi bukoba, kahawa chai hata mji wa kwa wahaya,ziwa nk ila wilaya maskini sana kama biharamulo, kyerwa,karagwe,ngara na sehemu za muleba hakuna wahaya huko.

unajikita mno kwa wahaya instead mkoaKilimanjaro ni mkoa mdogo pesa zinazotumwa kila mkoa zinafanana almost na mkoa wa kagera ni mkubwa tena mrefu kweli na uko mbali na DSM na bandari yaani kutoka bk hadi mtukula 3000 tu na Kampala 10000 tu wakati kwenda dar 60000 na mwanza kwa basi 20000 labda meli ndo afadhali ingawa zimestopishwa hivi huwezi kuona sababu hapo na istoshe wahaya wanakutwa kwenye wilaya tatu yaani bk vijijini, misenyi kutoa kuanzia kyaka,bunazi na mtukula ambao ni waganda kyaka,na muleba ingawa sio yote.hebu tembelea wilaya hizo huone mighorofa na majumba yaliyomo humo na hali ya maisha yaani tembelea kamachumu,rubya,kagondo, itahwa,maruku,kiziba,mugana,kanyigo nk hutaona umaskin.wilaya nyingine hazilimi ndizi bukoba, kahawa chai hata mji wa kwa wahaya,ziwa nk ila wilaya maskini sana kama biharamulo, kyerwa,karagwe,ngara na sehemu za muleba hakuna wahaya huko.
Ww ulikuwa ukiwasimanga wahaya ndo na kuwaunganisha na kagera yote ndo nimefanya hivyo.suala la umaskini mikoa midogo ndo INA ahueni kuliko mikubwa jiulize kwa nini ? Na mikoa ni mikubwa na INA watu wengi tz kagera na mwanza utaona kwa nini inaitwa maskini na kusema inazidiwa na pwani,et Dodoma unajua jinsi ya kupata takwimu hizi au nikuelimishe1_unajikita kwenye uhaya zaidi kuliko kagera
MBNA mm nazungumza Kilimanjaro na sio uchaga tu?
2_mpo jirani na nchi za Rwanda,Burundi,Uganda lakini n maskin MBNA sisi tupo na Kenya tu lakin tupi vizuri kiuchumi?
3_mmeshindwa kutumia fursa MNA ziwa na border tatu mnalalama nn
4_mkoa wenu n mkubwa ila mnazidiwa na mkoa mdg KLM
5_sii kweli kuwa fedha za maendeleo zinaenda sawa kila mkoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Hoja zako za kipumbavu, ukubwa wa mkoa unahusiana vip? Na maendeleo. Dar es salaam in mkoa mdogo Mara kumi ya iyo Kilimanjaro na mbona iko juu. Swala la kagera kupakana na Rwanda na Burundi na Uganda. Kwanza Rwanda na Burundi kiukubwa in sawa na ukubwa wa mkoa wa kagera kwa iyo aina impact yoyote katika uchumi na iyo Uganda ni ya kawaida sana, kiuchumi inazidiwa na TZ.1_unajikita kwenye uhaya zaidi kuliko kagera
MBNA mm nazungumza Kilimanjaro na sio uchaga tu?
2_mpo jirani na nchi za Rwanda,Burundi,Uganda lakini n maskin MBNA sisi tupo na Kenya tu lakin tupi vizuri kiuchumi?
3_mmeshindwa kutumia fursa MNA ziwa na border tatu mnalalama nn
4_mkoa wenu n mkubwa ila mnazidiwa na mkoa mdg KLM
5_sii kweli kuwa fedha za maendeleo zinaenda sawa kila mkoa
Kwani kuna mtu amenyang'anywa hela zake?Watu walitegemea sana msimu huu wachagga wasingerudi makwao ka ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu kidogo.
Maajabu hadi leo Tarehe 20/12/2017. Mji umeshafurika magari ya kifahari na foleni za barabarani zimeanza jambo ambalo halijazoeleka sana. Inakuwaje aisee au ndio watu wa huku wameshindwa kubanwa vizuri?
KweliWachaga wanajielewa sana...
Na kitoweo pendwa chao kishaanza kupata shidaWatu walitegemea sana msimu huu wachagga wasingerudi makwao ka ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu kidogo.
Maajabu hadi leo Tarehe 20/12/2017. Mji umeshafurika magari ya kifahari na foleni za barabarani zimeanza jambo ambalo halijazoeleka sana. Inakuwaje aisee au ndio watu wa huku wameshindwa kubanwa vizuri?
.Watu walitegemea sana msimu huu wachagga wasingerudi makwao ka ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu kidogo.
Maajabu hadi leo Tarehe 20/12/2017. Mji umeshafurika magari ya kifahari na foleni za barabarani zimeanza jambo ambalo halijazoeleka sana. Inakuwaje aisee au ndio watu wa huku wameshindwa kubanwa vizuri?
Kubanwa tusifanye businesses au nn asee,Watu walitegemea sana msimu huu wachagga wasingerudi makwao ka ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu kidogo.