That is useful kwa wasafiri, ahsante kwa niaba yao
Kampeni imegusa eneo pana zaidi mafuta yameadimika vituo vimefungwaDuuuh hapa inabidi mtu ujaze wese la uhakika..la sivyo unaweza ghairisha safari zako za muhimu...
Kampeni imegusa eneo pana zaidi mafuta yameadimika vituo vimefungwa
Post sent using JamiiForums mobile app
Angalizo muhimu: kama una mpango wa kujaza mafuta mitaa hiyo ahirisha na ujaze kituo jirani nawe.... Usije kukwama safari
Hat ukiwa na chumba na sebule bado serikali ikitaka kukufuatilia umepataje hela zako itakukamata tuJiandaeni na muwekea vizuri maelezo kuwa ulipataje mali zako ndio kinachofuata siku za usoni.. wenye magari zaidi ya mawili nyumba mbili tatu kazi mnayo...
*** you wewe Wa. Wapi unaongea ujinga kwenye mambo muhimu ya kitaifa kuhusu kodi again *** you bush carsusUkurupukaji jumlisha wivu chuki uzandiki na kero na kukomoana ndio yataendelea hadi 2020 tuvumiliane ndugu wananchi maagizo tu haya tunapewa
Ukweli always huuma. Kodi haitafutwi kijinga jinga.. hadi udharaulike.. system zisizo na kero zipo nyingi... au mpaka Magufuli alingilie kati kuwa TRA wawape bure machine za receipts kuliko kuendelea kupoteza kodi kijinga**** you wewe Wa. Wapi unaongea ujinga kwenye mambo muhimu ya kitaifa kuhusu kodi again **** you bush carsus
Post sent using JamiiForums mobile app
Arusha ipi hiyo!?, jana nimepita vituo vi 7 toka ngaramtoni mpaka miamzini, vi 5 vimefungwaHuku Arusha kwetu pako shwari .....