Waliokuwa wanasema Mpendazoe kakimbia kwao sasa waje hapa tuwasikie tena na watuambie story zao!! TZ ni ya kwetu wote na tuna uhuru wa kuishi na kugombea mahali popote isipokuwa ZNZ!!
Waliokuwa wanasema Mpendazoe kakimbia kwao sasa waje hapa tuwasikie tena na watuambie story zao!! TZ ni ya kwetu wote na tuna uhuru wa kuishi na kugombea mahali popote isipokuwa ZNZ!!
Well, una maana Zanzibar sio Tanzania? au una maana iliyokuwa Tanganyika ndio Tanzania? All in all wanasegerea amameonesha nini Pumba na nini si Pumba. I wonder Kiyabo wa CCJ ambaye sasa yuko CCM anafanya nini? yeye hata kugombea hakugombea.
Du this is a joke of the year! Sasa kama huko Namtumbo au Ukerewe tena kwenye visiwa lukuki matokeo tayari hao wanatwambia wanasubiri Kiwalani na Kipawa. Kwa muda wote toka kura zimepigwa hata kama hayo matokeo yangekuwa yanakusanywa kwa miguu ingekuwa tayari sasa!