ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
ahahaaa sina team ila nimecheka tu nampenda diamond nampenda ali kibaumesema hamna hata sehemu ya kukanyaga,,mbona ukiangaalia kwa mbali jukwaa yanaonekana mkuu,,kwan na ww upo uwanjani..hvi team nazo ni sheeeda
Hiyo ilikuwa Sound check uwe unaelewaumesema hamna hata sehemu ya kukanyaga,,mbona ukiangaalia kwa mbali jukwaa yanaonekana mkuu,,kwan na ww upo uwanjani..hvi team nazo ni sheeeda
bure mkuukiingilio ilikua sh ngapi?
Tsh 10000kiingilio ilikua sh ngapi?
Kwn pale Samora ameenda DIAMOND pekee ake???? Fikiri kiundani kabla ujaposti kitu.....
Ndio maana mwenyez mungu kakunyima kila kitu isipokuwa umaskini wa Mali na akiliKanyaganeni mfe huko,mtolewe kafara,shabikieni upuuzi tu
Punguza kula maharagweKwn pale Samora ameenda DIAMOND pekee ake???? Fikiri kiundani kabla ujaposti kitu.....
Serikali iingilie kati huyu jamaa azuiliwe maana anaweza kuleta maafa kama ya MV. Bukoba
Hahaha!!Serikali iingilie kati huyu jamaa azuiliwe maana anaweza kuleta maafa kama ya MV. Bukoba