Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,602
- 1,864
Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa,
Tuseme ndio mcheza kwao,
Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni soka la ukanda wetu linakuwa au nini hasa?
Maana imekuwa ni maajabu
Tanzania aongoze kundi lenye
Burknafaso na Mauritania
Kenya aongoze kundi lenye
Morocco, Dr Congo, Angola na Zambia
Uganda aongoze kundi lenye
Algeria, SA na Guinea
Sudani anaongoza kundi lenye
Senegal na Nigeria.
Hii haijawahi kutokea na haitakaa ijirudie katika dunia hii.