Hahahah! Mi naamini ni katika kuwekana sawa. Wengine wanasema mwanaume asipokugombeza basi hakupendi....
sipati picha na ndoa zetu mseto, kama itakuwa kusindikizana kila sehemu mpaka kwa masjid na church
mapenzi hayapimiki ki ivyo.......
yap ni kweli kwamba mkioana hobbies sawa inakuwa poa kabisa, lkn jamani hebu twendeni mbele turudi nyuma tumewah kujiuliza familia ambazo baba ana pendelea vitu fulan halafu mama hapendelei??
mara nyingi sana wamama tumekuwa watu ambao tunamudu kuwa flexible na hobbies za wenzi wetu ila wababa mweeeh............wako rigid sana. utakuta mama hata kama hapendi kujisomea ama sio mtu wa kunywa pombe lkn so long as baba anakunywa basi mama huwa anakuwa karibu yake kumpate, kurefill glass ya baba, kumpa stori mbili tatu hadi baba achoke kunywa.
kinyume chake kama baba hanywi halafu mama ndo mnywaji ni patashika nguo kuchanika. baba hawez kumsindikiza mama bar kwenda kunywa.
nikiliangalia hilo na nkisha nikilinganisha na kujifunza kuvumiliana basi kwangu huwa naonaga mnogo wa mapenzi husindikwa na uvumilivu zaid, na upendo kuliko kuwa na the like interest.
FP na Nivea nimewaelewa sana labda nijisemee mimi.
mimi nilijifunza kuwa tolerant kwenye hobbies hubby. masaa yote yeye akikaa anawaza kusoma tu majournal yote ya uhandisi amalize, sasa mbaya zaid anasoma yeye lkn anataka wewe ndo umskilize ama afanyie discussion bench so uvumilie akisema jambo umjibu na uonyeshe interest kwenye anachokisema. mbaya zaid sijui uhandisi hata chembe lkn yeye kanifanya had siku hizi najua latest models za construction na vitu kama hivyo.mwanzo nilikuwa najiuliza kama ningeweza but nilijikuta namudu kwani usipomzingatia anaboreka sana sana. Lkn nilijitahd kuzoea kiasi kwamba hata kama ni bar akianza tu kuyafungua mabuku yake basi mimi ndo discussion memba wake. so muda mwingine huwa tunavumulia mapenzi ya wenzetu.
tatizo ni kwamba hobbies za kike ni ngumu sana kuwa adopted na wakaka.
mfano mie hupenda sana sana outing ila na friends sasa hubby ameshindwa kabisa kunisaidia kwenye hili as anataka mkitoka umzingatie yeye tu ili hali nataka na friends zangu wafurahie uwepo wangu. kwa kulijua hilo huwa namwomba ruhusa separate kabisaa kwamba naomba nitoke na cacico akikubali poa akigoma napo roho itauma ila inakuwa poa tu
niko hivi toka zamani mpendwa wangu na namshukuru Mungu sana kwaajili hiyo.Sijui ulikua hivi toka zamani? sijui ndio utu uzima!
All in all, comments zako huwa na 'content' ya kutosha kuzingatia, kwa wale watakaopenda kujifunza lakini!
Asante mwalimu.
niko hivi toka zamani mpendwa wangu na namshukuru Mungu sana kwaajili hiyo.
niko hivi toka zamani mpendwa wangu na namshukuru Mungu sana kwaajili hiyo.
Nadhani umebalikiwa sana na una uelewa mzuri na ule ambao kwa sasa ni adimu kwa siku hizi ezpecially kwa hawa vibinti wanaomaliza shule za kata! Wewe umeiva na hii una uhusiano sana na malezi ya wazazi, your peer groups na nk... Keep it up!
bwana wee sio kwamba atakutafutia ambaye ni the most beautiful kaka...yaani atakuwa average luking unaweza toka nae na kuonekana nae mtaani. wewe wale wazuri wapo 1%, wakawaida 95% na ng'ong'ozo 4%
Nilitaka kukusifu kuwa leo umeleta points bila manung'uniko kabla ya kusoma sentensi yako ya mwisho.
pooole!it happens sometimes!Mwenzangu leo mood ya matatizo ya watu hata sina, maana boss kaniudhi mpaka basi yaani!